ndetichia
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 27,769
- 6,585
alifanya nini dr slaa?
kwani hujui
alifanya nini dr slaa?
<br />
<br />
hujui kusoma? Product ya shule za kata?
Hii ni siku ambayo sitakaa niiisahau akmwe. Ni Siku Ambayo Dr. W. P Slaa aliiadhibu Vikali CCM pale Mwembe Yanga, Ni Adhabu ambayo mpaka leo CCM bado wanaendelea kuitumikia. Ni Adhabu ambayo Imeziua kile Kilichitwa " Kujivua Gamba kwa Maslahi ya Chama".
Ni siku ambayo kwa mara ya Kwanza Dr. Slaa aliwafanya Wananchi waichukie CCM na ndio maana Dr. Slaa amekuwa adui namba Moja kwa CCM na makada wake ambao kila wakipata Fursa lazima Wamtaje lakini ni Siku ambayo Dr. Slaa alikuwa Kipenzi Kikubwa cha wananchi wa Tanzania.
Najua Dr. Slaa yuko busy na Kampeni ila naomba akipata nafasi achangie japo Maneno juu ya hii siku na nini CHADEMA wanapanga kufanya katika siku ya Leo.

na mie aksanthe ngoja nikale sushiAsante kwa kunikumbusha.ngoja nikasherehekee.
Na mimi pia
1. Dk Daudi Balali
2. Benjamin William Mkapa
3. Patrick W.R. Rutabanzibwa
4. Nimrod Elirehema Mkono
5. Andrew J. Chenge
6. Basil Pesambili Mramba
7. Grey S. Mgonja
8. Nazir Karamagi
9. Rostam Aziz
10. Edward Lowassa
11. Jakaya Mrisho Kikwete.
1. Dk Daudi Balali
2. Benjamin William Mkapa
3. Patrick W.R. Rutabanzibwa
4. Nimrod Elirehema Mkono
5. Andrew J. Chenge
6. Basil Pesambili Mramba
7. Grey S. Mgonja
8. Nazir Karamagi
9. Rostam Aziz
10. Edward Lowassa
11. Jakaya Mrisho Kikwete
Tutawakumbuka daima kwa jinsi Dk Slaa alivyotueleza tarehe 15/09/2007 jinsi kila mmoja wenu alivyosababisha leo hii nchi yetu ni maskini. Tunatamani mfe hata leo.