Tutakuwa wendawazimu kama tutashindwa kuchimba Madini hadimu na yanayohitajika kwa ubora wake katika soko la Dunia( Dr. P. W. Slaa) kwa sababu tumezoe kuuza madafu CCM. Niwakati wa Watanzania kuheshimika kimataifa , tuonekane tunauwezo wa kupima na kutenda .tusikalie mazoea huku CCM wakituhadaa yakuwa wapinzani hawawezi bila wao kutuonyesha wamewezaje..?