Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 58,042
- 134,325
- Thread starter
-
- #221
pamoja na kuonyesha wazi kuwa unaleta ubishi,nitakujibu!!List of Shame ni moja kati ya mambo ya kijasiri aliyowahi kuyafanya Dr.Slaa.Ujasiri kumzidi amiri jeshi mkuu.Yeye na Chadema waliwaweka wazi majina ya mafisadi.Hoja ya ufisadi na uadilifu ni hoja ambayo Dr.Slaa amekuwa akiisimamia.Nimeweka hili hapa kama ushahidi wa hoja na mambo makubwa ambayo Dr.Slaa amekuwa akisimamia.Huwezi kutenganisha List of Shame na Dr.SlaaWe ndo mwenye majibu mi nimeshauliza swali.
Leta maelezo kama unayo au kama na we una maswali basi weka wazi wenye majibu wayalete.
yanii upo Jf alafu haujui jambo dogo kama hilo alafu na wewe unajiita GT kweliii.....yani haujui maana ya list of shame kuhusishwa na DR Slaa.....maana yake ni hivi sasa, ni mtu ambaye anachukia mafisadi siyo kwa maneno bali kwa vitendo...niambie tangu uzaliwe umewahi kuona nani anamkemea rais aliyepo,rais mstaafu na mawaziri wakuu kuwa ni mafisadi papa alafu hawajampeleka mahakamani mpaka kesho?????Sasa kama huu uzi unamhusu Dr Slaa hiyo list of shame inahusika vipi na Dr Slaa?
mkuu huyo kagoma kuelewa itakuwa aidha ananufaika na mfumo huu wakidhalimu au yeye ndo fisadi yumo kwenye hiyo list of shame...maana humu si tunatumia ID fake...isikute unamjibu fisadi mamba au kibokopamoja na kuonyesha wazi kuwa unaleta ubishi,nitakujibu!!List of Shame ni moja kati ya mambo ya kijasiri aliyowahi kuyafanya Dr.Slaa.Ujasiri kumzidi amiri jeshi mkuu.Yeye na Chadema waliwaweka wazi majina ya mafisadi.Hoja ya ufisadi na uadilifu ni hoja ambayo Dr.Slaa amekuwa akiisimamia.Nimeweka hili hapa kama ushahidi wa hoja na mambo makubwa ambayo Dr.Slaa amekuwa akisimamia.Huwezi kutenganisha List of Shame na Dr.Slaa
kaka mbona unatoa povu jingi bila sababu za msingi?? waache watanzania wamjadili Rais wao ajaye.Mleta mada,
Huna haja ya kuweka historia ya Dr Slaa upya humu JF. Sijui weweni mgeni ama vipi, lakini tayari historia ya Dr Slaa ipo humu kabla ya kushindwa kwake uchaguzi wa mwaka 2010.
Haya yote unayofanya hapa ni marudio tu. Na Membe leo amewachana LIVE kuwa hao wafalme wenu ndio wanafanya CCM ushinde kwa kishindo katika kila uchaguzi. Naona na wewe kwa akili zako ndogo unarudia yale yale.
Invisible...tafadhali unganisheni uzi huu na ile uzi ya kipindi kile ya Dr Slaa.
Dr.Slaa asingekuwa disaster kwa CCM na mafisadi wasingehangaika kumuwekea sumu na vinasa sauti
kaka mbona unatoa povu jingi bila sababu za msingi?? waache watanzania wamjadili Rais wao ajaye.
Kama mmeshindwa kuwapatia majibu watanzania hata juu ya umaskini wao tu, hivi nyie ni wa kuwaamini tena?
hizo propaganda zimepitwa na wakati,leteni zingineAnauzoefu wa kikakanisakanisa zaidi
alishachina tunamtaka mbowe wetuDr slaa ndie Rais 2015~2020 waandae mabom na marisasi yao Rais ni Dr. Slaa.
toka lini wewe ukawa chadema,alishachina tunamtaka mbowe wetu
Presdent material.i appriciate Dr.slaa
Tunasubili siku yakuteuliwa kwake kisha kujitokeza mara ya kwanza kama mgombea pekeee urais....Ninachojua magamba yatakoma.
Utitili wa magamba kutangaza nia ni mkakati wao wa tutoke vipi....coverage ya vyombo vya habari, na kufunika ufisadi wao....watajichanganya sana....pakutokea hawatapaona.[/Q
Mkuu upo sahihi kabisa...nilidhani ni mimi mwenyewe kumbe ni wengi wameshashtukia hii mbinu ya MAGAMBA wengi kutangaza nia mwaka huu...haki ya nani uchaguzi 2015 imekula kwao
Tunasubili siku yakuteuliwa kwake kisha kujitokeza mara ya kwanza kama mgombea pekeee urais....Ninachojua magamba yatakoma.
Utitili wa magamba kutangaza nia ni mkakati wao wa tutoke vipi....coverage ya vyombo vya habari, na kufunika ufisadi wao....watajichanganya sana....pakutokea hawatapaona.
Mleta mada,
Huna haja ya kuweka historia ya Dr Slaa upya humu JF. Sijui weweni mgeni ama vipi, lakini tayari historia ya Dr Slaa ipo humu kabla ya kushindwa kwake uchaguzi wa mwaka 2010.
Haya yote unayofanya hapa ni marudio tu. Na Membe leo amewachana LIVE kuwa hao wafalme wenu ndio wanafanya CCM ushinde kwa kishindo katika kila uchaguzi. Naona na wewe kwa akili zako ndogo unarudia yale yale.
Invisible...tafadhali unganisheni uzi huu na ile uzi ya kipindi kile ya Dr Slaa.