Dr. Wiliam S.A. Ruto next President for the People of Kenya

AeIoU

Senior Member
Mar 14, 2008
178
139
Nimefuatilia kwa muda mrefu sana siasa za hapa nchini na nimekuja na hoja hii kuwa Ruto is unstoppable for presidential position in the year 2022.

Ruto thou of his betrayal by his friend President Uhuru kenyatta he played good political game and movement that can not be stopped anyhow unless otherwise he dies as like other human being.

Kwa kuweka swala la uhai constant Ruto will be the President.

My advice to him he must select a potential women for the DP post to gain more votes from wamama wote na mama mbogas.

Siasa za kenya kwa sasa hazipo tena upande wa kikabila kwa kutegemea either kuchukua yale makapi matatu namely Mudavadi, Kalonzo na Watangula.

Ile pumbafu ya Moi achana nayo kabisa haina mvuto wowote.

Nimemsikiliza sana kwa makini Lee Makwiny na Chris kumekucha wanadai eti mtu atakayeshinda anahitaji Uhuru Kenyata endosment hakuna kitu kama hicho Uhuru hana mamlaka yoyote ya kuamua kenya itawaliwe na nani kama vile alivyoshindwa mzee Moi.

Huyu kumbafu Atwoli usihangaike nae kabisa mwachie mtu kama sudi na aisha jumwa. Wewe songa mbele kustrategies way foward na watu kama Irungu kangata, kalhwale,Kostany,MOHA n.k usitafute watu wenye majina makubwa hawana influence anymore.

Pia kuwa makini sana na Moses Kuria ni mtu wa ndimi mbili.

Ruto proceed with your Brigade you will be the president by will of people and not will of someone or any tribe.
 
^...mtu atakayeshinda anahitaji Uhuru Kenyatta's endosment. Hakuna kitu kama hicho. Uhuru hana mamlaka yoyote ya kuamua Kenya itawaliwe na nani kama vile alivyoshindwa Mzee Moi.^

Just asking: Do you take the history and nature of politics into their proper consideration & perspective!???
 
Jasmoni!

Thanks for your classical comments:

It's very true that history and nature shouldn't be considered but we take it as lesson learnt.

Take note that politics is too and very dynamic in Kenya as opposed to what its is in your country Tanzania.

Your welcome for more discussion ! How is Tz today after the era of Mwendazake! Its my belief that Mama Samia will do better off than ever.
 
How did you cross the border so ^rushily^!??? Tubakie Nairobi kwanza, sawa!??? Nachojua, dynamism ya politics labda kwenye mabadiliko ya misamiati tu. It's the very same game since time immemorial, hata kama mpira wenyewe ni mpya unanunuliwa kila siku. We would be naive to believe otherwise. Everybody saw what happened with ^the servers^ and ^Justice Maraga Episodes^ previously, and they can never afford to be fooled again.
 
Day dreaming, ukabila Kenya ni sawa na tako na chupi 👇👇

Siasa za kenya kwa sasa hazipo tena upande wa kikabila
 
Nimefuatilia kwa muda mrefu sana siasa za hapa nchini na nimekuja na hoja hii kuwa Ruto is unstoppable for presidential position in the year 2022.

Ruto thou of his betrayal by his friend President Uhuru kenyatta he played good political game and movement that can not be stopped anyhow unless otherwise he dies as like other human being.

Kwa kuweka swala la uhai constant Ruto will be the President.

My advice to him he must select a potential women for the DP post to gain more votes from wamama wote na mama mbogas.

Siasa za kenya kwa sasa hazipo tena upande wa kikabila kwa kutegemea either kuchukua yale makapi matatu namely Mudavadi, Kalonzo na Watangula.

Ile pumbafu ya Moi achana nayo kabisa haina mvuto wowote.

Nimemsikiliza sana kwa makini Lee Makwiny na Chris kumekucha wanadai eti mtu atakayeshinda anahitaji Uhuru Kenyata endosment hakuna kitu kama hicho Uhuru hana mamlaka yoyote ya kuamua kenya itawaliwe na nani kama vile alivyoshindwa mzee Moi.

Huyu kumbafu Atwoli usihangaike nae kabisa mwachie mtu kama sudi na aisha jumwa. Wewe songa mbele kustrategies way foward na watu kama Irungu kangata, kalhwale,Kostany,MOHA n.k usitafute watu wenye majina makubwa hawana influence anymore.

Pia kuwa makini sana na Moses Kuria ni mtu wa ndimi mbili.

Ruto proceed with your Brigade you will be the president by will of people and not will of someone or any tribe.
sio mbaya kufuatilia siasa zetu. nimeshangaa unajua list ya wanasiasa wengi sana kutoka Kenya wakati mimi ukiniambia nikutajie wanasiasa watano tu kutoka Tanzania, itakua mtihani. Kiingereza chako kimekutoa kwenye reli kwa kutaka kutuaminisha kua wewe ni Mkenya sababu hakina tofauti na yule jamaa bogus eliakeem.
endelea kufuatilia siasa zetu. shukran sana.
 
Hilo mbona liko wazi mkenya anaitamani ardhi yetu kuliko anavoipenda nchi yake, mamlaka zetu zimelala usingizi mzito hawajielewi
land in Tanzania iko cheap sana,,,, na rotuba kedekede! sasa tukioa dada zenu na kujikimilikisha kipande cha ardhi, huoni kama hio itakua ni njia moja ya kuendeleza ujirani mwema na ushemeji?
 
sio mbaya kufuatilia siasa zetu. nimeshangaa unajua list ya wanasiasa wengi sana kutoka Kenya wakati mimi ukiniambia nikutajie wanasiasa watano tu kutoka Tanzania, itakua mtihani. Kiingereza chako kimekutoa kwenye reli kwa kutaka kutuaminisha kua wewe ni Mkenya sababu hakina tofauti na yule jamaa bogus eliakeem.
endelea kufuatilia siasa zetu. shukran sana.

Safi sana, naona sindano imegusa kunako. Wakati mnaugulia maumivu ya kuangukiwa na majumba mabovu, huku mkipoozwa maumivu hayo na bajeti kubwa Afrika Mashariki, ambayo utekelezaji wake ni chini ya 50%. Sisi wenzenu tunazindua gold refinery kubwa Afrika Mashariki na Kati. Pia tukianza kuonja FDI za EACOP. Miezi mitatu ijayo, tutaanza kujaza bwawa letu la kuzalisha umeme la Mwal. Nyerere. Na leo hii rais wetu SSH atazindua kipande cha SGR kutoka Mwanza hadi Isaka chenye urefu wa km 300.

Kwa hiyo nyie endeleeni kuamini kwamba mnajua kiingereza (licha ya kwamba mnaongea kilichovunjika) ambacho kilikuja kwa meli. Pia chukua muda kunyoosha kiswahili chako ni kibovu, ambacho kililetwa huko Nairobi na malori.
🤣🤣🤣
 
AeIoU,
Are you seriously saying that Ruto is going to grab the rightful title from Raila Amolo Odinga to be the people's president without receiving blessings of Baba and Amolo's people on the shores of Lake Nyanza ?

People from Nyanza are experts in building coalitions and are also politically professional demonstrators for decades and no one can win election in Kenya without enrolling them into their ranks to achieve ambition to take over the state house.
 
Bagamoyo sikia,

Huko nyanza Ruto ana almost 50% coastal 40% great Mount Kenya 90% huko North 70% Duale amefanya kazi kubwa sana, huyu mzee wako wa kitendawili kwanza hata hajaamua anategemea coalition na support ya Kenyatta, tutampiga asubuhi na mapema huyo ni fungu la kukosa.
 
Nimefuatilia kwa muda mrefu sana siasa za hapa nchini na nimekuja na hoja hii kuwa Ruto is unstoppable for presidential position in the year 2022.

Ruto thou of his betrayal by his friend President Uhuru kenyatta he played good political game and movement that can not be stopped anyhow unless otherwise he dies as like other human being.

Kwa kuweka swala la uhai constant Ruto will be the President.

My advice to him he must select a potential women for the DP post to gain more votes from wamama wote na mama mbogas.

Siasa za kenya kwa sasa hazipo tena upande wa kikabila kwa kutegemea either kuchukua yale makapi matatu namely Mudavadi, Kalonzo na Watangula.

Ile pumbafu ya Moi achana nayo kabisa haina mvuto wowote.

Nimemsikiliza sana kwa makini Lee Makwiny na Chris kumekucha wanadai eti mtu atakayeshinda anahitaji Uhuru Kenyata endosment hakuna kitu kama hicho Uhuru hana mamlaka yoyote ya kuamua kenya itawaliwe na nani kama vile alivyoshindwa mzee Moi.

Huyu kumbafu Atwoli usihangaike nae kabisa mwachie mtu kama sudi na aisha jumwa. Wewe songa mbele kustrategies way foward na watu kama Irungu kangata, kalhwale,Kostany,MOHA n.k usitafute watu wenye majina makubwa hawana influence anymore.

Pia kuwa makini sana na Moses Kuria ni mtu wa ndimi mbili.

Ruto proceed with your Brigade you will be the president by will of people and not will of someone or any tribe.
Sii wanasema eti ni chorri, au uk kasanganya? Wanasema katiba mahindi
 
Bagamoyo sikia,

Huko nyanza Ruto ana almost 50% coastal 40% great Mount Kenya 90% huko North 70% Duale amefanya kazi kubwa sana, huyu mzee wako wa kitendawili kwanza hata hajaamua anategemea coalition na support ya Kenyatta, tutampiga asubuhi na mapema huyo ni fungu la kukosa.

Baba ametoa ruhusa ? Maana kule Nyanza Baba Raila Amolo Odinga akisema BBI wote wanafuata nyayo zake BBI na akisema nataka kuingia Ikulu kupitia Chungwa / Orange kuwa Rais wote wanamfuata nyuma twende Baba mpaka State House ndiyo maana BBI siyo ile maana Building Bridges Initiative bali maana yake halisi ni Beba Baba Ikulu.

Na Mh. Rais Uhuru Muigai Kenyatta pamoja na Mahakama ya Juu kusema BBI ni mpango wa Raila na Uhuru hivyo ni batili kwani haufuati katiba ya Jamhuri ya Kenya, bali BBI ni njama za kikundi cha vigogo wachache, bado Mh. Uhuru anapambania BBI iendelee wakati Dr. William S. Ruto yeye hii habari ya Beba Baba (Raila) Ikulu anaupinga kabisa.

1623798260465.png constitutionnet.org › news › kenyas-...
Kenya's high court issues landmark ruling blocking BBI bill as ...
17 May 2021 — They also ruled that the BBI constitutional committee, a body created by the president, was illegal, adding that Mr Kenyatta
 
Back
Top Bottom