Dr Wilbrod Slaa Vs Yusuph Makamba

Bolivar

JF-Expert Member
Oct 23, 2010
229
103
Katibu wa chama kimoja ni Dr Wilbrod Slaa na wa Chama cha pili ni Yusuph Makamba, hapa ni kama Barcelona kucheza na Fc Arusha. Hakuna uwiano kabisa!
 
Strategist wa CHADEMA compared to wa CCM ni usingizi na kifo. CHADEMA ni Barcelona while CCM ni AFC Arusha
 
Watu wawili tofauti kbs,labda upambanishe vyama kuliko hao viongozi uliowataja
Simple test waje kwenye mdahalo wa wazi ulioandaliwa na chombo cha habari huru
 
Katibu wa chama kimoja ni Dr Wilbrod Slaa na wa Chama cha pili ni Yusuph Makamba, hapa ni kama Barcelona kucheza na Fc Arusha. Hakuna uwiano kabisa!

Ndugu Boliva,katika maisha unapofanya Comparison huwezi tu kuhukumu bila kutoa misingi unayosimamia.

kwa upande wangu watu hawa ni lazima maeneo flani wawe na uwiano na maeneo mengine wawe na tofauti.

Labda ungetupa kazi ya kujadili differences zao na similarities zao na kisha tukatoa maksi ndipo tukafikia mwisho wa kuhukumu nani zaidi.

Siku zote ushindi wa mpira unaamuriwa ndani ya dakika tisini na kama ni vinginevyo kunasababu mahalumu.

Mfano Barcelona na AFC zote ni timu za mpira zenye wachezaji 11 ndani ya uwanja.Lakini moja iko kule na nyingine iko huku..............................................

Sipendi kuhukumu nisije hukumiwa bali haki ndiyo msingi wa mafanikio.
 
Katibu wa chama kimoja ni Dr Wilbrod Slaa na wa Chama cha pili ni Yusuph Makamba, hapa ni kama Barcelona kucheza na Fc Arusha. Hakuna uwiano kabisa!

Mmoja ana mke watoto na familia, mwingine ana girlfriend na bado anaishi Abla hotels and apartments.
 
Back
Top Bottom