Zimmermann
JF-Expert Member
- Sep 28, 2010
- 4,051
- 3,618
aisee! hii imenivunja mbavu....! you made my day bro! Samwel Sitta alikosea aliposema vijana wa tanzania wanawaza fiesta....alitakiwa aseme baadhi ya vijana wa tanzania wanawaza madrassa tu! hahahahah...tehe ..!Every who streches a skin on drum, pulls the skin own his own side, unategemea mtu kama wewe ulivyokuwa mateka wa Mbowe utasemaje?
Unakumbuka jana nilikuambia nini kuhusu kingereza chako,
haya ni matokeo ya kutumia dictionary kutafsiri maneno huku grammar ukisahau.
Narudia tena! Every who streches a skin drum, pulls the skin own his own side: Tafsiri kila mwamba ngoma, ngozi huivutia kwake.
CDM-Kata-Jf, bana wote kumbe upande wa lugha ya kingereza ni jangaa la kitaifa
Feedback said:Unakumbuka jana nilikuambia nini kuhusu kingereza chako,
haya ni matokeo ya kutumia dictionary kutafsiri maneno huku grammar ukisahau.
Kuna li robot linaitwa INVISIBLE huwa linasema.......Ficha Upumbavu wako; Usiifiche Hekima yako!Ndugu yangu wewe naona unafuata mkumbo tu, kwa faida ya wana JF, tuandikie kwa kingereza haya maneno.
Kila mwamba ngoma ngozi, huivutia kwake
Rais wa Wazalendo wa Kichagga kutoka Kilimanjaro na Arusha, sio rais wa Watanzania wapenda amani
Hivi Dr Slaa ni mchaga? Ni vizuri hizi shule za kata ziangaliwe kwa ukaribu zaidi, zitatutengenezea mambumbu wa viwango vya kutisha!
Yes you can with a bullet proof vest by blocking it, au?
Siko hapa kufundisha kingereza nina mambo mengi tu ya kufanya lia na baba yako anayeanzisha shule za kata bila walimu...Ndugu yangu wewe naona unafuata mkumbo tu, kwa faida ya wana JF, tuandikie kwa kingereza haya maneno.
Kila mwamba ngoma ngozi, huivutia kwake
Ndugu yangu wewe naona unafuata mkumbo tu, kwa faida ya wana JF, tuandikie kwa kingereza haya maneno.
Kila mwamba ngoma ngozi, huivutia kwake
rits, sikukufahamu vizuri kabla, kumbe wewe ni meya wa jiji?Hamna rais mtarajiwa urais sio kama harusi ndio unaweza kusema bwana harusi mtarajiwa au bibi harusi mtarajiwa.
Ungesema rais kivuli wa Tanzania a loser Dr Slaa, atakuwepo Kateshi
Rais wa Wazalendo wa Kichagga kutoka Kilimanjaro na Arusha, sio rais wa Watanzania wapenda amani
Hamna rais mtarajiwa urais sio kama harusi ndio unaweza kusema bwana harusi mtarajiwa au bibi harusi mtarajiwa.
Ungesema rais kivuli wa Tanzania a loser Dr Slaa, atakuwepo Kateshi
Janaba ni nini? Halafu mimi sina chama naona unakurupuka tu!Tatizo la Kuja JF ukiwa na Janaba la mavi, Uwe unatawadha kabla hujapost Upupu hapa maana unakidhalilisha chama chako cha Magamba