Dr. Wilbrod Peter Slaa ni mwaasiasa hasa

Dr Slaa mwanasiasa hasa anayezijua siasa,,,anajua kuwachezea ccm ndo maana haogopi lolote wanalolipanga
 
Mkuu mimi si mwanachama wa chama chochote.Kama kuna mtu humu wa kuthibitisha chama changu na ajitokeze.Ukweli tu nimejaribu kusema.Umeumia eeh?
Hizi comment zako asije ukazikataa baadaye!. 2014 na 2015 siyo mbali sana katika chaguzi ndugu yangu na hasa ikichukuliwa Jf ni kama hansadi na pia comment za Verified User zinasimama hata mahakamani kama verified comment.
 
Dr.W.Slaa we ni jembe Kamanda, Tunakupenda na ww ndio tumaini letu.
 
Last edited by a moderator:
Natamani sana kuwa kama yeye. Kwa juma zima hili, Dr.Slaa amekuwa akifanya ziara katika Kanda ya Ziwa Magharibi ukiwemo mkoa wa Kigoma.Katika ziara hiyo,kuna taarifa mbalimbali. Kuna zinazosema kuwa Dr.Slaa amefanyiwa/anafanyiwa/atafanyiwa vurugu na hivyo ziara zake zimedorora. Kuna taarifa toka Kurugenzi ya Habari ya CHADEMA kuwa ziara zake zinafana na kuendelea vyema.

Dr.W.Slaa
,pamoja na kusemwa tofautitofauti,anasonga mbele.Hajawahi kukimbilia mitandaoni kukanusha au kupambisha ziara zake na kinachoendelea. Wangekuwa akina fulani hapa pangejaa mabandiko yao. Dr.W.Slaa ni mfano wa kuigwa wa wanasiasa. Yeye anajali zaidi kujenga hoja na kuacha mengine kupita bila ya yeye kuhusika. Mwanasiasa huyu kiboko!

Ziara za Kigoma zinasemwa kama kupambana na Zitto. Lakini si kweli. Dr.Slaa anajua fika kuhusu hilo.Ndiyo maana yeye anaendelea na ziara za kukagua na kuimarisha chama chake huku akiyaacha mambo mazito ya Zitto yaendelee kujadiliwa kichama.Hakuna hata hotuba moja iliyoripotiwa humu au kwingineko ambapo Dr.W.Slaa amemzungumzia Zitto. Huu ni ukomavu.

Wote wanaopanga kuvuruga mikutanoya Dr.W.Slaa wanashindwa.Watashindwa kwakuwa yeye si mkorofi na hajibu mapigo.Yuko tofauti sana mwanasiasa huyu. Hakuna haja ya kukodi au kusafirisha watu wa kuvuruga mikutano yake. Wavurugaji watavurugwa wao. Busara za Dr.W.Slaa ni ulinzi wake tosha.

Kila la kheri Dr.Wilbrod Peter Slaa. Mungu atakutangulia!

Muhimu: Mimi si mwanachama wa chama chochote cha siasa hapa Tanzania au kwingineko duniani. Nasema ukweli tu

Watu wengi hawaujui uwezo wa Dr.Slaa .Kwanza being a priest na kuwa rank kubwa ndani ya Kanisa Katoliki si jambo la mchezo .Chadema inakuwa ilivyo kwa kuwa amekuwa kiongozi wa Instituition kubwa sana Tanzania .TEC ni habari nyingine kwa wanao taka kujua basi watajua ila wale wamatusi wataishia kumkashifu lakini nani asiyejua nguvu ya TEC ?Slaa amekaa pale muda wa kutosha na akiwa huko hakuwa mzigo kwa TEC kafanya mengi mno .Hata aliposea ana acha Utumishi maana huwezi kuacha upadre Kanisa lilimpa ruhusa kwa kutambua na kuheshimu maamuzi yakena mchango mkubwa kwa TEC na Kanisa katoliki Tanzania , kuanzia elimu , huduma za afya ,mawisiliano ya Kanisa , Elimu ya juu seminarini na hudma kwa jamii .Wanao mtukana Mzee huyu wanafanya makusudi na hawataki kukubali kwamba IQ yake iko juu .Ndiyo maana hujaona anakuja hapa na bla bla yeye yuko kazini kama alivyo panga .
 
Natamani sana kuwa kama yeye. Kwa juma zima hili, Dr.Slaa amekuwa akifanya ziara katika Kanda ya Ziwa Magharibi ukiwemo mkoa wa Kigoma.Katika ziara hiyo,kuna taarifa mbalimbali. Kuna zinazosema kuwa Dr.Slaa amefanyiwa/anafanyiwa/atafanyiwa vurugu na hivyo ziara zake zimedorora. Kuna taarifa toka Kurugenzi ya Habari ya CHADEMA kuwa ziara zake zinafana na kuendelea vyema.

Dr.W.Slaa
,pamoja na kusemwa tofautitofauti,anasonga mbele.Hajawahi kukimbilia mitandaoni kukanusha au kupambisha ziara zake na kinachoendelea. Wangekuwa akina fulani hapa pangejaa mabandiko yao. Dr.W.Slaa ni mfano wa kuigwa wa wanasiasa. Yeye anajali zaidi kujenga hoja na kuacha mengine kupita bila ya yeye kuhusika. Mwanasiasa huyu kiboko!

Ziara za Kigoma zinasemwa kama kupambana na Zitto. Lakini si kweli. Dr.Slaa anajua fika kuhusu hilo.Ndiyo maana yeye anaendelea na ziara za kukagua na kuimarisha chama chake huku akiyaacha mambo mazito ya Zitto yaendelee kujadiliwa kichama.Hakuna hata hotuba moja iliyoripotiwa humu au kwingineko ambapo Dr.W.Slaa amemzungumzia Zitto. Huu ni ukomavu.

Wote wanaopanga kuvuruga mikutanoya Dr.W.Slaa wanashindwa.Watashindwa kwakuwa yeye si mkorofi na hajibu mapigo.Yuko tofauti sana mwanasiasa huyu. Hakuna haja ya kukodi au kusafirisha watu wa kuvuruga mikutano yake. Wavurugaji watavurugwa wao. Busara za Dr.W.Slaa ni ulinzi wake tosha.

Kila la kheri Dr.Wilbrod Peter Slaa. Mungu atakutangulia!

Muhimu: Mimi si mwanachama wa chama chochote cha siasa hapa Tanzania au kwingineko duniani. Nasema ukweli tu

Umenena ukweli ndugu.
 
Last edited by a moderator:
nakushauri kufanya tafiti kwanza kabla hujaenda kenye conclusion -iliwekwa picha hapa ya uongo kuonyesha yupo KAHAMA ambayo yeye aligonga LIKE kuashiria ile nyomi ndiyo iliyokuwapo siku alipohutubia Kahama, picha ambazo Mods walizibaini ni za uongo na kuifunga thread-unawezaje kusema haji mitandaoni? huyo mzee ni muongo na ndio maana amekuwa akitoa kauli zenye kukinzana mara kwa mara na kwa taarifa yako ndiye mratibu wa Scandals nyingi zinazomuhusu ZZK ili kumbeba Mbowe kama alivyofanya Mbowe kumbeba yeye pale ZZK alipotangaza kugombea URAIS-generally kutokana na yeye kuanza MFUMO wa maisha mapya uzeeni(familia mpya na mtoto mchanga) is so much confronted na mahitaji na kwa ajili hiyo hawezi kufanya/kutenda nje ya mahitaji yake ya kimwili na ndicho anachokifanya sasa huyu mzee na ilifika wana CDM wenyewe mtandaoni waliwahi kumkemea kwa tabia iliyoonyeshwa na MSHUMBUSI kuwa anavyo m-control mzee alikuwa akitumia hadi ID ya SLAA kutoa majibu ya kibwege mtandaoni-kimsingi mzee hana say kwa mama na wahuni wachache (wachumia tumbo wa CDM)

fanya utafiti kidogo

Ungekuwa umefanya la maana km ungempelekea mama yako angeanza nae familia mapema ujanani.
 
Nenda shule kwanza huna akili wewe
 
Huu ndiyo ukweli.......... Hongera kamanda kwa hili bandiko liko vizuri
 
Last edited by a moderator:
ujue magamba wengi wanamkejeli mzee kwa kumwita Padre Slaa,hawajui kuwa padre ni kichwa kiasi gani
 
Huyu SLA kweli in jembe! Name haoni shida kujibadili ngozi ili akubalike katika malengo yake. Nadhani muda si mrefu atabadili dini na kuwa muislamu kama atapata mrembo wa dining husika
 
nakushauri kufanya tafiti kwanza kabla hujaenda kenye conclusion -iliwekwa picha hapa ya uongo kuonyesha yupo KAHAMA ambayo yeye aligonga LIKE kuashiria ile nyomi ndiyo iliyokuwapo siku alipohutubia Kahama, picha ambazo Mods walizibaini ni za uongo na kuifunga thread-unawezaje kusema haji mitandaoni? huyo mzee ni muongo na ndio maana amekuwa akitoa kauli zenye kukinzana mara kwa mara na kwa taarifa yako ndiye mratibu wa Scandals nyingi zinazomuhusu ZZK ili kumbeba Mbowe kama alivyofanya Mbowe kumbeba yeye pale ZZK alipotangaza kugombea URAIS-generally kutokana na yeye kuanza MFUMO wa maisha mapya uzeeni(familia mpya na mtoto mchanga) is so much confronted na mahitaji na kwa ajili hiyo hawezi kufanya/kutenda nje ya mahitaji yake ya kimwili na ndicho anachokifanya sasa huyu mzee na ilifika wana CDM wenyewe mtandaoni waliwahi kumkemea kwa tabia iliyoonyeshwa na MSHUMBUSI kuwa anavyo m-control mzee alikuwa akitumia hadi ID ya SLAA kutoa majibu ya kibwege mtandaoni-kimsingi mzee hana say kwa mama na wahuni wachache (wachumia tumbo wa CDM)

fanya utafiti kidogo

Kumbe zile picha ni uongo???
 
Huyu SLA kweli in jembe! Name haoni shida kujibadili ngozi ili akubalike katika malengo yake. Nadhani muda si mrefu atabadili dini na kuwa muislamu kama atapata mrembo wa dining husika

Kama alivyofanya mama yako
 
Ungekuwa umefanya la maana km ungempelekea mama yako angeanza nae familia mapema ujanani.

Hata mpumbaavu akinyamaza huonekana ana busara.Ona sasa unavyojiaibisha na kila mtu kakuona ulivyo mtupu kichwani,hakika wewe si mzigo tu kwa jamii ya wastaarabu bali hata kwa familia yako wewe ni zigo tena kama la kinyesi.
 
In. 2/11/15 Breaking News.
Tanzanian National Election Commision has announce Opposition Leader Dr Wilibroad Slaa as fiveth President of Tanzanian, Dr Wilbroad Slaa got 69% of all voter,
 
nakushauri kufanya tafiti kwanza kabla hujaenda kenye conclusion -iliwekwa picha hapa ya uongo kuonyesha yupo KAHAMA ambayo yeye aligonga LIKE kuashiria ile nyomi ndiyo iliyokuwapo siku alipohutubia Kahama, picha ambazo Mods walizibaini ni za uongo na kuifunga thread-unawezaje kusema haji mitandaoni? huyo mzee ni muongo na ndio maana amekuwa akitoa kauli zenye kukinzana mara kwa mara na kwa taarifa yako ndiye mratibu wa Scandals nyingi zinazomuhusu ZZK ili kumbeba Mbowe kama alivyofanya Mbowe kumbeba yeye pale ZZK alipotangaza kugombea URAIS-generally kutokana na yeye kuanza MFUMO wa maisha mapya uzeeni(familia mpya na mtoto mchanga) is so much confronted na mahitaji na kwa ajili hiyo hawezi kufanya/kutenda nje ya mahitaji yake ya kimwili na ndicho anachokifanya sasa huyu mzee na ilifika wana CDM wenyewe mtandaoni waliwahi kumkemea kwa tabia iliyoonyeshwa na MSHUMBUSI kuwa anavyo m-control mzee alikuwa akitumia hadi ID ya SLAA kutoa majibu ya kibwege mtandaoni-kimsingi mzee hana say kwa mama na wahuni wachache (wachumia tumbo wa CDM)

fanya utafiti kidogo

Wewe ndio umesema kitu gani sasa hapa? Uharo mtupu
 
Back
Top Bottom