Nchaby
JF-Expert Member
- Aug 12, 2013
- 797
- 259
ZZK ni mtu hatari sana
Mimi niliwahi andika hapa siku moja
Kwamba alikuja Ujerumani anajisifu nikamwambia rafiki yangu huyu ni mnafiki kufa
Rafiki yangu alinibishia ila kwa sasa ameniambia kweli rafiki wewe unaona mbali
I am telling you Zitto is a big delinquent
Wanywa mbege bana mnanifurahisha kweli! Kusoma mmeshindwa, hata picha hamuoni?
Kweli mbege na viroba vinatia sumu kwenye akili!