Dr. Wilbrod Peter Slaa ni mwaasiasa hasa

Petro E. Mselewa

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2012
Posts
10,346
Reaction score
26,138
Natamani sana kuwa kama yeye. Kwa juma zima hili, Dr.Slaa amekuwa akifanya ziara katika Kanda ya Ziwa Magharibi ukiwemo mkoa wa Kigoma.Katika ziara hiyo,kuna taarifa mbalimbali. Kuna zinazosema kuwa Dr.Slaa amefanyiwa/anafanyiwa/atafanyiwa vurugu na hivyo ziara zake zimedorora. Kuna taarifa toka Kurugenzi ya Habari ya CHADEMA kuwa ziara zake zinafana na kuendelea vyema.

Dr.W.Slaa
,pamoja na kusemwa tofautitofauti,anasonga mbele.Hajawahi kukimbilia mitandaoni kukanusha au kupambisha ziara zake na kinachoendelea. Wangekuwa akina fulani hapa pangejaa mabandiko yao. Dr.W.Slaa ni mfano wa kuigwa wa wanasiasa. Yeye anajali zaidi kujenga hoja na kuacha mengine kupita bila ya yeye kuhusika. Mwanasiasa huyu kiboko!

Ziara za Kigoma zinasemwa kama kupambana na Zitto. Lakini si kweli. Dr.Slaa anajua fika kuhusu hilo.Ndiyo maana yeye anaendelea na ziara za kukagua na kuimarisha chama chake huku akiyaacha mambo mazito ya Zitto yaendelee kujadiliwa kichama.Hakuna hata hotuba moja iliyoripotiwa humu au kwingineko ambapo Dr.W.Slaa amemzungumzia Zitto. Huu ni ukomavu.

Wote wanaopanga kuvuruga mikutanoya Dr.W.Slaa wanashindwa.Watashindwa kwakuwa yeye si mkorofi na hajibu mapigo.Yuko tofauti sana mwanasiasa huyu. Hakuna haja ya kukodi au kusafirisha watu wa kuvuruga mikutano yake. Wavurugaji watavurugwa wao. Busara za Dr.W.Slaa ni ulinzi wake tosha.

Kila la kheri Dr.Wilbrod Peter Slaa. Mungu atakutangulia!

Muhimu: Mimi si mwanachama wa chama chochote cha siasa hapa Tanzania au kwingineko duniani. Nasema ukweli tu
 
Last edited by a moderator:

,pamoja na kusema tofautitofauti,anasonga mbele.Hajawahi kukimbilia mitandaoni kukanusha au kupambisha ziara zake na kinachoendelea. Wangekuwa akina fulani hapa pangejaa mabandiko yao. Dr. Slaa ni mfano wa kuigwa wa wanasiasa. Yeye anajali zaidi kujenga hoja na kuacha mengine kupita bila ya yeye kuhusika. Mwanasiasa huyu kiboko!

Ziara za Kigoma zinasemwa kama kupambana na Zitto. Lakini si kweli. Dr.Slaa anajua fika kuhusu hilo.Ndiyo maana yeye anaendelea na ziara za kukagua na kuimarisha chama chake huku akiyaacha mambo mazito ya Zitto yaendelee kujadiliwa kichama.Hakuna hata hotuba moja iliyoripotiwa humu au kwingineko ambapo Dr. W.Slaa amemzungumzia Zitto. Huu ni ukomavu.

Wote wanaopanga kuvuruga mikutanoya Dr.W.Slaa wanashindwa.Watashindwa kwakuwa yeye si mkorofi na hajibu mapigo.Yuko tofauti sana mwanasiasa huyu. Hakuna haja ya kukodi au kusafirisha watu wa kuvuruga mikutano yake. Wavurugaji watavurugwa wao. Busara za Dr.W.Slaa ni ulinzi wake tosha.

Kila la kheri Dr.Wilbrod Peter Slaa. Mungu atakutangulia!

Muhimu: Mimi si mwanachama wa chama chochote cha siasa hapa Tanzania au kwingineko duniani. Nasema ukweli tu

Well narrated, viva Dr. Slaa(PhD).
 
Last edited by a moderator:
Good strategy...attacking is the best way of defense! Zitto et al waende karatu na Arusha kujenga chama chao kama wana balls za kuhimili ...CCM na masalia wote lazima watambue kuwa kuna tofauti kubwa sana kati ya ndumilakuwili na mtu mwenye dhamira safi kama akina Slaa na Mbowe...
 
...

....Bravo Slaa nimeona kazi nzuri "CHADEMA MSINGI" kule Kilombero Morogoro!!!

.....Makamanda wa Morogoro Heshima kwenu.....
 
Natamani sana kuwa kama yeye. Kwa juma zima hili, Dr.Slaa amekuwa akifanya ziara katika Kanda ya Ziwa Magharibi ukiwemo mkoa wa Kigoma.Katika ziara hiyo,kuna taarifa mbalimbali. Kuna zinazosema kuwa Dr.Slaa amefanyiwa/anafanyiwa/atafanyiwa vurugu na hivyo ziara zake zimedorora. Kuna taarifa toka Kurugenzi ya Habari ya CHADEMA kuwa ziara zake zinafana na kuendelea vyema.

Dr.W.Slaa
,pamoja na kusema tofautitofauti,anasonga mbele.Hajawahi kukimbilia mitandaoni kukanusha au kupambisha ziara zake na kinachoendelea. Wangekuwa akina fulani hapa pangejaa mabandiko yao. Dr. Slaa ni mfano wa kuigwa wa wanasiasa. Yeye anajali zaidi kujenga hoja na kuacha mengine kupita bila ya yeye kuhusika. Mwanasiasa huyu kiboko!

Ziara za Kigoma zinasemwa kama kupambana na Zitto. Lakini si kweli. Dr.Slaa anajua fika kuhusu hilo.Ndiyo maana yeye anaendelea na ziara za kukagua na kuimarisha chama chake huku akiyaacha mambo mazito ya Zitto yaendelee kujadiliwa kichama.Hakuna hata hotuba moja iliyoripotiwa humu au kwingineko ambapo @Dr. W.Slaa amemzungumzia Zitto. Huu ni ukomavu.

Wote wanaopanga kuvuruga mikutanoya Dr.W.Slaa wanashindwa.Watashindwa kwakuwa yeye si mkorofi na hajibu mapigo.Yuko tofauti sana mwanasiasa huyu. Hakuna haja ya kukodi au kusafirisha watu wa kuvuruga mikutano yake. Wavurugaji watavurugwa wao. Busara za Dr.W.Slaa ni ulinzi wake tosha.

Kila la kheri Dr.Wilbrod Peter Slaa. Mungu atakutangulia!

Muhimu: Mimi si mwanachama wa chama chochote cha siasa hapa Tanzania au kwingineko duniani. Nasema ukweli tu

nakushauri kufanya tafiti kwanza kabla hujaenda kenye conclusion -iliwekwa picha hapa ya uongo kuonyesha yupo KAHAMA ambayo yeye aligonga LIKE kuashiria ile nyomi ndiyo iliyokuwapo siku alipohutubia Kahama, picha ambazo Mods walizibaini ni za uongo na kuifunga thread-unawezaje kusema haji mitandaoni? huyo mzee ni muongo na ndio maana amekuwa akitoa kauli zenye kukinzana mara kwa mara na kwa taarifa yako ndiye mratibu wa Scandals nyingi zinazomuhusu ZZK ili kumbeba Mbowe kama alivyofanya Mbowe kumbeba yeye pale ZZK alipotangaza kugombea URAIS-generally kutokana na yeye kuanza MFUMO wa maisha mapya uzeeni(familia mpya na mtoto mchanga) is so much confronted na mahitaji na kwa ajili hiyo hawezi kufanya/kutenda nje ya mahitaji yake ya kimwili na ndicho anachokifanya sasa huyu mzee na ilifika wana CDM wenyewe mtandaoni waliwahi kumkemea kwa tabia iliyoonyeshwa na MSHUMBUSI kuwa anavyo m-control mzee alikuwa akitumia hadi ID ya SLAA kutoa majibu ya kibwege mtandaoni-kimsingi mzee hana say kwa mama na wahuni wachache (wachumia tumbo wa CDM)

fanya utafiti kidogo
 
Mzalendo Petro, asante sana kwa hii thread ya kujenga na kutia moyo, nimefurahishwa sana na observations zako, nami nakuungua mkono kabisa juu ya umuonavyo dr. Kwa bahati mbaya nafikiri ametesekaje kwa kufanya kazi na mtu wa ajabu kama Zitto, je mnakumbuka ya kafulila? jinsi alivyotaka kumchezea dr wakati ule? sitaki kutoa sweeping statements lakini sishangazwi na tabia ya hawa watoto wa Kigoma, sijui ni exposure ama iko kwenye gene, lakni all in all tunamshukuru mungu tumepita kwenye hili jaribu kwa ujasiri, kweli Majaribu ni Mtaji
 
Natamani sana kuwa kama yeye. Kwa juma zima hili, Dr.Slaa amekuwa akifanya ziara katika Kanda ya Ziwa Magharibi ukiwemo mkoa wa Kigoma.Katika ziara hiyo,kuna taarifa mbalimbali. Kuna zinazosema kuwa Dr.Slaa amefanyiwa/anafanyiwa/atafanyiwa vurugu na hivyo ziara zake zimedorora. Kuna taarifa toka Kurugenzi ya Habari ya CHADEMA kuwa ziara zake zinafana na kuendelea vyema.

Dr.W.Slaa
,pamoja na kusemwa tofautitofauti,anasonga mbele.Hajawahi kukimbilia mitandaoni kukanusha au kupambisha ziara zake na kinachoendelea. Wangekuwa akina fulani hapa pangejaa mabandiko yao. Dr.W.Slaa ni mfano wa kuigwa wa wanasiasa. Yeye anajali zaidi kujenga hoja na kuacha mengine kupita bila ya yeye kuhusika. Mwanasiasa huyu kiboko!

Ziara za Kigoma zinasemwa kama kupambana na Zitto. Lakini si kweli. Dr.Slaa anajua fika kuhusu hilo.Ndiyo maana yeye anaendelea na ziara za kukagua na kuimarisha chama chake huku akiyaacha mambo mazito ya Zitto yaendelee kujadiliwa kichama.Hakuna hata hotuba moja iliyoripotiwa humu au kwingineko ambapo Dr.W.Slaa amemzungumzia Zitto. Huu ni ukomavu.

Wote wanaopanga kuvuruga mikutanoya Dr.W.Slaa wanashindwa.Watashindwa kwakuwa yeye si mkorofi na hajibu mapigo.Yuko tofauti sana mwanasiasa huyu. Hakuna haja ya kukodi au kusafirisha watu wa kuvuruga mikutano yake. Wavurugaji watavurugwa wao. Busara za Dr.W.Slaa ni ulinzi wake tosha.

Kila la kheri Dr.Wilbrod Peter Slaa. Mungu atakutangulia!

Muhimu: Mimi si mwanachama wa chama chochote cha siasa hapa Tanzania au kwingineko duniani. Nasema ukweli tu
Mkuu Petero , asante kwa hii manna angalau angalau na thread za Dr.
 
Viva CHADEMA Viva Dr W P Slaa!! Tunakupenda sana!!
 
Last edited by a moderator:
nakushauri kufanya tafiti kwanza kabla hujaenda kenye conclusion -iliwekwa picha hapa ya uongo kuonyesha yupo KAHAMA ambayo yeye aligonga LIKE kuashiria ile nyomi ndiyo iliyokuwapo siku alipohutubia Kahama, picha ambazo Mods walizibaini ni za uongo na kuifunga thread-unawezaje kusema haji mitandaoni? huyo mzee ni muongo na ndio maana amekuwa akitoa kauli zenye kukinzana mara kwa mara na kwa taarifa yako ndiye mratibu wa Scandals nyingi zinazomuhusu ZZK ili kumbeba Mbowe kama alivyofanya Mbowe kumbeba yeye pale ZZK alipotangaza kugombea URAIS-generally kutokana na yeye kuanza MFUMO wa maisha mapya uzeeni(familia mpya na mtoto mchanga) is so much confronted na mahitaji na kwa ajili hiyo hawezi kufanya/kutenda nje ya mahitaji yake ya kimwili na ndicho anachokifanya sasa huyu mzee na ilifika wana CDM wenyewe mtandaoni waliwahi kumkemea kwa tabia iliyoonyeshwa na MSHUMBUSI kuwa anavyo m-control mzee alikuwa akitumia hadi ID ya SLAA kutoa majibu ya kibwege mtandaoni-kimsingi mzee hana say kwa mama na wahuni wachache (wachumia tumbo wa CDM)

fanya utafiti kidogo

....division 10
 
ZZK ni mtu hatari sana
Mimi niliwahi andika hapa siku moja
Kwamba alikuja Ujerumani anajisifu nikamwambia rafiki yangu huyu ni mnafiki kufa
Rafiki yangu alinibishia ila kwa sasa ameniambia kweli rafiki wewe unaona mbali
I am telling you Zitto is a big delinquent
 
Huku Kamanda Mawazo analiendeleza libeneke kama kawaida....CCM mmeshaaa.....
 
Bandiko hili linanikumbusha sana maudhui ambayo huwa anayatoa VUTA-NKUVUTE a.k.a Mzee Tupatupa.

muwamba ngoma mara zote huvutia kwake.

Tutasikia na kuona mengi sana kuelekea uchaguzi wa ndani wa CHADEMA na pia uchaguzi wa watu watakaosimama kuiwakilisha CHADEMA katika majimbo mbali mbali 2015.

Nyota njema huonekana asubuhi na pia jogoo wa shamba akiwika........

Ili uweze kuonekana kwenye kandamnasi, unashauriwa ukae mbele ya haraiki.
 
Mkuu Pasco,mimi naitwa Petro Eusebius Mselewa. Siitwi Petero...ha ha ha ha ha ha ha Pamoja sana Msomi mwenzangu!
Pole, Petero ni Kiswahili cha Petro na Peter kwa Kiswahili ni Kiswahili Pita, na mimi ni Pasikali!.
Au

unapenda tukuite kwa kidhungu tub?.
Pasco.
 
Back
Top Bottom