Makamanda,
alipo Dr Slaa hapako siri Wala hapajawahi kuwa Siri. Nilipowaaga Watanzania kupitia Azam TV na baadaye STarTV niliwaambia Watanzania kuwa ninaenda Sabbatical Leave. Nitatumia wakati huo kurudi shule, kujikumbusha mambo mbali mbali mapya katika maeneo yangu ya Masomo. Mwanzoni nilifikiria kuanza na masomo ya Sheria. Hata hivyo nimeanza na masomo ya Psychotherapy na Psychoanalysis. Kwa wale wanaojua Branches mbalimbali ya Falsafa ( Philosophia) watakumbuka kuwa nilisoma Psychology kama sehemu ya Masomo yangu ya Falsafa Seminari Kuu ya Kibosho. Sasa nimeona niingie kwa undani zaidi, kufahamu zaidi Tabia na mfumo wa akili ya Binadamu unavyofanya Kazi. Hadi sasa nimekwisha kuingia kwenye Module insyodeal na Cognitive Therapy, Strategic Family Therapy, Brief Therapy.
Wapenzi wangu nawaomba watulie tu. Kama nilivyowaambia Nimeachana na Active Party Politics, walidhani maana ya kauli hiyo ni kufunga Mdomo. Nilisema pale patakapohitaji kupiga kelele nitapiga kelele kupinga uonevu wa aina yeyote, kupinga ufisadi wa aina yeyote. Nitasimamia misingi yote muhimu katika Taifa langu kwa kutumia haki zangu za Kikatiba ( ikiwa ni pamoja na kusimamia uchumi wa Taifa letu.
Umenikumbusha kaulimbiu za ugambani. Tujiulize ni ipi iliyoweza kujigeuza katika ukweli au kubadilisha maisha ya wakereketwa kuanzia 'ujamaa ni imani' > 'hapa ruksa tu' > 'uwazi na ukweli' > 'maisha bora kwa kila mbongo' na sasa 'hapa kazi tu'.
Angekuwa interested na hivyo vyeo angeshaisaliti Chadema enzi hizo ....waulize insider wa Chadema wakuambie uadilifu wake ...nyinyi mashabiki endeleeni kujazwa ujinga ....
Lipumba na Slaa hawakutosa Ukawa toka moyoni isipokuwa Walinunuliwa baada ya kuweka njaa mbele, Lipumba alipewa dola million 1 ndiyo maana yeye aliondoka kijanja kwa visingizio ya kisanii sanii, lakini Dr slaa yeye alipendelewa kwa kupewa dola million 2 pamoja na kununuliwa Nyumba Dubai kwa pesa za marehemu Gafafi ambazo zilitolewa na Membe ambaye ni Adui namba majo wa Lowasa na Ukawa.Tundu Lisu kwa kuwaambia watu diri za ndani za mzee Padre muasi Slaa alidhani atapotosha watu kutoka kwenye ukweli aliouzema Slaa kumve ilikua too late. Halafu UKAWA wanamtafuta mchawi kwanini wameshindwa uchaguzi mkuu wakati matokeo yalishabadilika wakati vinara wa kweli wa ukawa Prof Lipumba na Dr Slaa walipowatosa UKAWA
Makamanda,
alipo Dr Slaa hapako siri Wala hapajawahi kuwa Siri. Nilipowaaga Watanzania kupitia Azam TV na baadaye STarTV niliwaambia Watanzania kuwa ninaenda Sabbatical Leave. Nitatumia wakati huo kurudi shule, kujikumbusha mambo mbali mbali mapya katika maeneo yangu ya Masomo. Mwanzoni nilifikiria kuanza na masomo ya Sheria. Hata hivyo nimeanza na masomo ya Psychotherapy na Psychoanalysis. Kwa wale wanaojua Branches mbalimbali ya Falsafa ( Philosophia) watakumbuka kuwa nilisoma Psychology kama sehemu ya Masomo yangu ya Falsafa Seminari Kuu ya Kibosho. Sasa nimeona niingie kwa undani zaidi, kufahamu zaidi Tabia na mfumo wa akili ya Binadamu unavyofanya Kazi. Hadi sasa nimekwisha kuingia kwenye Module insyodeal na Cognitive Therapy, Strategic Family Therapy, Brief Therapy.
Wapenzi wangu nawaomba watulie tu. Kama nilivyowaambia Nimeachana na Active Party Politics, walidhani maana ya kauli hiyo ni kufunga Mdomo. Nilisema pale patakapohitaji kupiga kelele nitapiga kelele kupinga uonevu wa aina yeyote, kupinga ufisadi wa aina yeyote. Nitasimamia misingi yote muhimu katika Taifa langu kwa kutumia haki zangu za Kikatiba ( ikiwa ni pamoja na kusimamia uchumi wa Taifa letu.
Siku ile ya tukio saa kama hizi amelala kwenye gari,hatari

Muzee umesomeka.Makamanda,
alipo Dr Slaa hapako siri Wala hapajawahi kuwa Siri......... Hata hivyo nimeanza na masomo ya Psychotherapy na Psychoanalysis. Kwa wale wanaojua Branches mbalimbali ya Falsafa ( Philosophia) watakumbuka kuwa nilisoma Psychology kama sehemu ya Masomo yangu ya Falsafa Seminari Kuu ya Kibosho. Sasa nimeona niingie kwa undani zaidi, kufahamu zaidi Tabia na mfumo wa akili ya Binadamu unavyofanya Kazi. Hadi sasa nimekwisha kuingia kwenye Module insyodeal na Cognitive Therapy, Strategic Family Therapy, Brief Therapy.
Wapenzi wangu nawaomba watulie tu. Kama nilivyowaambia Nimeachana na Active Party Politics, walidhani maana ya kauli hiyo ni kufunga Mdomo. Nilisema pale patakapohitaji kupiga kelele nitapiga kelele kupinga uonevu wa aina yeyote, kupinga ufisadi wa aina yeyote. Nitasimamia misingi yote muhimu katika Taifa langu kwa kutumia haki zangu za Kikatiba ( ikiwa ni pamoja na kusimamia uchumi wa Taifa letu.
Makamanda,
alipo Dr Slaa hapako siri Wala hapajawahi kuwa Siri. Nilipowaaga Watanzania kupitia Azam TV na baadaye STarTV niliwaambia Watanzania kuwa ninaenda Sabbatical Leave. Nitatumia wakati huo kurudi shule, kujikumbusha mambo mbali mbali mapya katika maeneo yangu ya Masomo. Mwanzoni nilifikiria kuanza na masomo ya Sheria. Hata hivyo nimeanza na masomo ya Psychotherapy na Psychoanalysis. Kwa wale wanaojua Branches mbalimbali ya Falsafa ( Philosophia) watakumbuka kuwa nilisoma Psychology kama sehemu ya Masomo yangu ya Falsafa Seminari Kuu ya Kibosho. Sasa nimeona niingie kwa undani zaidi, kufahamu zaidi Tabia na mfumo wa akili ya Binadamu unavyofanya Kazi. Hadi sasa nimekwisha kuingia kwenye Module insyodeal na Cognitive Therapy, Strategic Family Therapy, Brief Therapy.
Wapenzi wangu nawaomba watulie tu. Kama nilivyowaambia Nimeachana na Active Party Politics, walidhani maana ya kauli hiyo ni kufunga Mdomo. Nilisema pale patakapohitaji kupiga kelele nitapiga kelele kupinga uonevu wa aina yeyote, kupinga ufisadi wa aina yeyote. Nitasimamia misingi yote muhimu katika Taifa langu kwa kutumia haki zangu za Kikatiba ( ikiwa ni pamoja na kusimamia uchumi wa Taifa letu.
Alipolopoka pale serena akasepa mara nikamwona startv akasepa mara akaja nikamwona na jk akiwa na chati la vyumba vyumba lkn alikuwa amekonda sn ladba tuanzie hapo kumtafuta
Asipopewa kitengo na CCM atakufa huyu mzee,
Ulimbukeni wa mapenzi umemponza huyo Dokta wenuTundu Lisu kwa kuwaambia watu diri za ndani za mzee Padre muasi Slaa alidhani atapotosha watu kutoka kwenye ukweli aliouzema Slaa kumve ilikua too late. Halafu UKAWA wanamtafuta mchawi kwanini wameshindwa uchaguzi mkuu wakati matokeo yalishabadilika wakati vinara wa kweli wa ukawa Prof Lipumba na Dr Slaa walipowatosa UKAWA
Nataka niulize pale azina kama.huwa halipwi kweli maana uzee ule kujidhalilisha c jambo dogo
Msimamo wake uko wazi. Mke kwanza nchi baadaeBaada ya CHADEMA kuingiliwa na manyang'au, Lowassa, Masha n.k., kwa nini usitoe msimamo wa nini wafusi wako wafanye katika kukabiliana na haya mafisadi?
Huyu analipwa kabisa mkuu na inasemekana hata anasomeshwa na CCM,labda kutafuta wachumba ndio pekee anafanya peke yake.