Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 57,961
- 134,052
Mbowe turudishie chadema yetu. Umetuuza kwa bei chee.
Duh!!muadilifu kaukacha upadri na kuoa huku akizalisha mwanamke akiwa bado padri.Angekuwa interested na hivyo vyeo angeshaisaliti Chadema enzi hizo ....waulize insider wa Chadema wakuambie uadilifu wake ...nyinyi mashabiki endeleeni kujazwa ujinga ....
Hapa ndo huwa naingia mashaka na mamluki kama wewe,Mbowe turudishie chadema yetu. Umetuuza kwa bei chee.
Ana uadilifu gani huyo mzinzi na msaliti?Watu wa tabia za huyu babu ni wa kuwaogopa kama ukoma.Angekuwa interested na hivyo vyeo angeshaisaliti Chadema enzi hizo ....waulize insider wa Chadema wakuambie uadilifu wake ...nyinyi mashabiki endeleeni kujazwa ujinga ....
Duh!!muadilifu kaukacha upadri na kuoa huku akizalisha mwanamke akiwa bado padri.
Mbowe turudishie chadema yetu. Umetuuza kwa bei chee.
Tundu Lisu kwa kuwaambia watu diri za ndani za mzee Padre muasi Slaa alidhani atapotosha watu kutoka kwenye ukweli aliouzema Slaa kumve ilikua too late. Halafu UKAWA wanamtafuta mchawi kwanini wameshindwa uchaguzi mkuu wakati matokeo yalishabadilika wakati vinara wa kweli wa ukawa Prof Lipumba na Dr Slaa walipowatosa UKAWA
Tunaotoa siku 7 ajitokeze au tinaanza na kampeni ya Bring back our Dr. Mihogo na maharage.@Dr Wilbroad Slaa ni public figure
Wana jf.
Dr.Wilbroad Slaa, rais wa mioyo yetu toka uchaguzi mkuu ufanyike yuko kimya hatujasikia maoni yake. Yuko wapi rais wa mioyo yetu,? Yuko Tanzania au bado yuko mapumzikoni Marekani?
Dr. Slaa popote ulipo tunakuomba ujitokeze utoe maoni yako roho zetu zitulie.
Bonyeza HAPA kuweza kujua yupo wapi
Umenikumbusha kaulimbiu za ugambani. Tujiulize ni ipi iliyoweza kujigeuza katika ukweli au kubadilisha maisha ya wakereketwa kuanzia 'ujamaa ni imani' > 'hapa ruksa tu' > 'uwazi na ukweli' > 'maisha bora kwa kila mbongo' na sasa 'hapa kazi tu'.Tunaotoa siku 7 ajitokeze au tinaanza na kampeni ya Bring back our Dr. Mihogo na maharage.
Dr. Ameamua kwa hiari yake kujibalalisha. Atarudi hasira za Chadema/UKAWA zitakapopungua.
Doktor hawezi kuacha kula mihogo na maharage yake US ili aje apewe "maisha bora" na serikali ya CCM. Na sasa hawa jamaa wamekuja na hapakazitu, muzee hawezi tena hayo mambo za kazi, ameshastaafu kazi, sasa anaweza kufanya press conferences tu kama atapata msaada wa kumbukumbu/ makabrasha kutoka kwa wasamaria wema kama Mwakyembe.
Yupo Dubai kajificha kwenye ile Nyumba aliyonunuliwa na Membe kwa mapesa ya marehemu Gadafi, kaamua kukaa huko kwanza afiche Sura baada ya kugundua kuwa watu wengi wanajua kuwa alinunuliwa ili kuihujumu kambi ya Ukawa.Wana jf.
Dr.Wilbroad Slaa, rais wa mioyo yetu toka uchaguzi mkuu ufanyike yuko kimya hatujasikia maoni yake. Yuko wapi rais wa mioyo yetu,? Yuko Tanzania au bado yuko mapumzikoni Marekani?
Dr. Slaa popote ulipo tunakuomba ujitokeze utoe maoni yako roho zetu zitulie.