Dkt. Wilbert Kleruu - Utata wa kifo chake, historia na maisha yake

Anàjaribu kunogesha habari kwa kuweka mbwembwe,
Mtu kama huyo unaweza kumwambia na yeye akafanye mahojiano anavyoona inafaa.

Mtu kajitahidi kufanya mahojiano haya, hatujui hata kama ana training ya uandishi au ni hobby tu, hatujalipia, amekuwa mstari wa mbele kutafuta fist sources na kuweka habari ipatikane for posterity.

Bado unakuwa na mbwembwe za kumsema vibaya?

Mtu asiye na shukurani kama huyu anayekosoa vitu ambavyo hata hawezi kuvielezea unaweza kumkuta anakufa kwa njaa, ukampa chakula umuokoe, akakushutumu hujampa pilau la iliki na amdalasini ya Bara Hindi!

Maggid's account is hardly Mr. McCullough's caliber Puliter prize worthy work, but at keast he wrote something usingfirst sources and challenged others to do so.

Let us appreciate that at the very least.

And if there are shortcomings in his writings, surpass it.
 
Chanzo kikuu cha kuuwa kwake ni kudhihaki makaburi ya mababu zake na kusema "Humu ndimo mlipozika mirija yenu"? Alifanya hivyo huku akionyesha makaburi yake kwa fimbo yake aliyoshika mkononi.

Ndipo Mwamwindi akaongozana na Kreuu huku akificha hasira zake mpaka nyumbani kumbuka alimkuta shambani akilima siku ya siku kuu, alipofika nyumbani akamwacha Dr nje akaenda ndani akachukua bunduki na kumtwanga nayo.

Kwa kifupi huyu RC alikuwa ana kihere here na dharau sana na hivyo ilitokea kuchukiwa na watu wengi.
 
Nimeipenda hii documentary.........na naomba mleta thread naweza kuipata wapi familia ya mwamindi nipate japo neno moja kwa ambaye anakumbuka hilo
 
Chanzo kikuu cha kuuwa kwake ni kudhihaki makaburi ya mababu zake na kusema "Humu ndimo mlipozika mirija yenu"? Alifanya hivyo huku akionyesha makaburi yake kwa fimbo yake aliyoshika mkononi.

Ndipo Mwamwindi akaongozana na Kreuu huku akificha hasira zake mpaka nyumbani kumbuka alimkuta shambani akilima siku ya siku kuu, alipofika nyumbani akamwacha Dr nje akaenda ndani akachukua bunduki na kumtwanga nayo.

Kwa kifupi huyu RC alikuwa ana kihere here na dharau sana na hivyo ilitokea kuchukiwa na watu wengi.
BASHITE design
 
Mtu kama huyo unaweza kumwambia na yeye akafanye mahojiano anavyoona inafaa.

Mtu kajitahidi kufanya mahojiano haya, hatujui hata kama ana training ya uandishi au ni hobby tu, hatujalipia, amekuwa mstari wa mbele kutafuta fist sources na kuweka habari ipatikane for posterity.

Bado unakuwa na mbwembwe za kumsema vibaya?

Mtu asiye na shukurani kama huyu anayekosoa vitu ambavyo hata hawezi kuvielezea unaweza kumkuta anakufa kwa njaa, ukampa chakula umuokoe, akakushutumu hujampa pilau la iliki na amdalasini ya Bara Hindi!

Maggid's account is hardly Mr. McCullough's caliber Puliter prize worthy work, but at keast he wrote something usingfirst sources and challenged others to do so.

Let us appreciate that at the very least.

And if there are shortcomings in his writings, surpass it.

Teh teh teh! Umenifurahisha sana.

Huyo jamaa ana kiranga.
 
Magidi ni Muandishi na Mtangazaji namfahamu. Stori iko vizuri sana, katika jamii hawakosekani wabezaji, hata kwa jambo jema. Tuwasamehe.
 
Maggid alikuwa na utashi na mambo ya media muda mrefu.

Mpiga picha wetu maarufu alipiga picha zetu nyingi sana shuleni Tambaza. Pia aliwapiga picha vijana wa siku zile wa shule zote za mjini kati hapo Dar.

Kama alizihifadhi maktaba yake itakuwa na picha nyingi sana za zamani.

Naongelea miaka ya mwisho ya themanini na ya mwanzo ya tisini.

Kwa hiyo hizi habari za uandishi na kutunza historia hakuanza jana wala juzi.
 
Ilikua in kusafisha hali ya hewa. Hakua na kosa kubwa kihivyo. Rc alimfuata kwake
 
Story nzuri sana, nimesoma na kitukuu wa mwamwindi kwa sasa ni marehemu(rip) alikuwa mtata Kuna siku alimshikia panga teacher asee
 
Bujibuji mwendelezo vipi? Ulisema itaendelea kesho na leo ni siku ya 3 naona kimya
 
Amani Mwamwindi
18033326_10211114054460006_165879979886132393_n.jpg
 
Utata: Kuna Mzee Wa Iringa Nilikuwa Nafanyanae Kazi Alinisimulia Kuwa Mzee Mwamwindi Alimkuta Rc Kleruu Nyumbani Kwa Mke Wake (ALIMFUMANIA) Kwa Hasira Kali Akamtwanga Risasi Kisha Akaupeleka Mwili Wa Rc Kleruu Polisi
Udaku huo
 
Back
Top Bottom