Didia
JF-Expert Member
- Nov 9, 2010
- 719
- 258
Katika mchakato wa uchanguzi uliopita Dr. Slaa ulifafanua vyema sera ya elimu ya chama chako na nini ungetufanyia watanzania iwapo ungechanguliwa. Kwa wale walio kuamini walikuchagua hata kama maoni yao yalipinduliwa. Naamini kwa dhamilia yako isiyo teteleka yanayotokea sasa kwa vijana wengi wenye sifa kukosa mikopo ya elimu ya juu yangekuwa ni ndoto. Hii nikama matamanio ya wengi yangesikilizwa na kuheshimiwa.
Naamini katika hili bado una nafasi ya kusaidia watanzania japokuwa si kwa kiwango ulichokitamani . Angalau utufariji kwa kusikia tena Sauti yako katika sakata hili la mikopo ya elimu ya juu. Mimi ni miongoni mwa wale wanao amini sauti yako ina nguvu. HILI NI OMBI LANGU KWAKO
AHSANTE