Dr. W. Slaa kwenye Channel 10; Pongezi zake!

tuhabarishe mkubwa!!!

Dr. Slaa alikuwa anaulizwa ajibu na kueleza kuwa Chadema ni mlengo wa Kushoto au Kulia. Yeye amesema ni mlengo wa kati na katoa maelezo mazuri ni kwanini chadema ni mlemgo wa kati. Kaeleza kuwa falsafa ya chama ni "Mamlaka na nguvu ya Umma" kwamba isiwe ajabu mtu akichaguliwa kuwa kiongozi basi asihojiwe na mtu!! inabidi mamlaka yawe ndani ya umma. Ukikosea lazima uwajibike na kuulizwa na wananchi.
 
Angalieni ITV kuhusu jinsi CCM ilivyojivua magamba. Mafisadi wanatazamana na kuona aibu wanainama chini. Chiligati anasema yeye hayumo kwenye ufisadi
 
Jamani!!!! Lowassa anaangalia kwa huruma, Huyu Nnape aliongea kwa mikogo sijui yukoje!!!!! kipindi kinaitwa kujivua gamba!!!!!!!
 
Leteni habari za ukweli, sisi tumekatiwa umeme, hawa jamaa wanataka tusijue. Pongezi jamii forums.
 
pM asipoteze muda wake kuhoji imekuwaje DR akapata kipindi kutokwa kwa RA ila ujumbe wa Dr ameuelewa? hii ni kwasababu ya mabadiliko yanapokuja huwezi kuyazuia hata ukitumia bunduki na risasi mabadiliko yatakuja tuu. na sasa hata mafisadi watajikuta wakiyaunga mabadiliko hata kama hawayapendi.
 
Asante mao. lakini kama huyu Makwaia wa Kuhenga hakuomba ruhusa kwa RA sijui itakuwaje? Wameahidi kuendelea na mada ya jinsi ya kuwakabili wawekezaji wanyonyaji kama wale wa madini. I promise niaifuatilia hii nieleze kitakachoendelea.
 
Nimemsikiliza Slaa,kweli uwezo wake wa kujenga hoja uko juu mpaka unasikia hamu ya kuwa na kiongozi kama yeye ili akiwawakilisha na kuwasemea unahakika atawawakilisha vema kwa hoja madhubuti zenye mshiko. Kwa viongozi tulionao sasa hivi ni Aibu tupu
 
pM asipoteze muda wake kuhoji imekuwaje DR akapata kipindi kutokwa kwa RA ila ujumbe wa Dr ameuelewa? hii ni kwasababu ya mabadiliko yanapokuja huwezi kuyazuia hata ukitumia bunduki na risasi mabadiliko yatakuja tuu. na sasa hata mafisadi watajikuta wakiyaunga mabadiliko hata kama hawayapendi.

Kimsingi ch kumi ilikuwa inamilikiwa na yule jamaa muitalia-mtz aitwa Tramaton kama sikosei RA alikuwa ni sehemu ya wanahisa tu! Sina uhakika kama RA anamiliki asilimia mia
 
Mkuu Dr. Slaa anaeleza falsafa ya CDM kuwa inatokana na ibara ya 8 ya katiba ya Jamhuri ya Muungano. Jamaa anayeongoza kipindi anachanganya mambo lakini DR. anamrudisha mstarini. Slaa yuko na Arcado Ntagazwa.
Wakuu naomba mpigie mstari maneno yangu,Dr.W.Slaa ni aina ya kiongozi ambaye tanzania na Afrika wamebaki wachache au hakuna na hata wakongwe wa siasa wanajua hilo.huyu mzee ni almasi ambayo kama nyerere alivyosema tunadanganywa na kupewa feki ndivyo ccm wanavyojaribu kufanya ili hali na ukweli wa uwezo wa kiuongozi alionao slaa wanaujua na kuogopa sana.Dr amejitoa haswa na hata ukimwangalia yanatoka moyoni.Dr.Slaa mm binafsi nitasimama na wewe daima ili dhamira yako ya kuikomboa nchi hii itimie.wacha waseme yote lakini nani kama wewe Tanzania ya sasa? Natamani Nyerere angekuwepo kipindi hiki maana angeungana na wewe kwenye ukombozi wa pili wa Taifa hili.
 
  • Thanks
Reactions: Ame
amemuliza kuhusu falsafa ya chama kama kawaida akamchambulia mpaka mwendesha kipind akamwambia aende polepole coz yeye ni mtu mwenye akil nying sana pili akamwambia kuhusu soko huria kwenye dunia hii ya sayans na technolojia akamjibu hiyo sera ilikuwa ni ya chadema toka 1992 so ccm waliikopi na kupaste toka chadema bila kufahamu wataifanyiaje kazi so ccm wakaamua kuanzisha soko holela.
 
Kimsingi ch kumi ilikuwa inamilikiwa na yule jamaa muitalia-mtz aitwa Tramaton kama sikosei RA alikuwa ni sehemu ya wanahisa tu! Sina uhakika kama RA anamiliki asilimia mia
kila
Asante mkuu nadhani anyejiuliza kuwa ni kwanini ch.10 amabayo ilisemekana ni RA mwenye hisa kubwa Imemruhusu DR. Slaa na Ntagzwa kueleza udhaifu wa serikali ya JK na falsafa ya Chadema? atakuwa anelekea kupata jibu. Mie nadhani sasa hivi kila kitu kilichokuwa kimepotoka " Kinajivua Magamba" hadi Ch.10 imejivua magamba. ahahahahtehetehete!!!!!!
 
Asante mao. lakini kama huyu Makwaia wa Kuhenga hakuomba ruhusa kwa RA sijui itakuwaje? Wameahidi kuendelea na mada ya jinsi ya kuwakabili wawekezaji wanyonyaji kama wale wa madini. I promise niaifuatilia hii nieleze kitakachoendelea.

wataendeleza lini wakuu,tulikuwa hatuna umeme cjaona wala kuckia
 
hii nimeijua kwa Dr. Slaa leo, 'vita ya ndizi', kati ya US na Ulaya
 
Back
Top Bottom