yaani hadi bia yangu imemwagika!:heh::heh::heh::heh::heh::heh::heh:
Jamaa bonge la mtu kaingia
kwa dokta.
Jamaa: Dr. nina tatizo huku sirini.
Dr: Hebu vua nguo tuone.
Jamaa: Poa navua ila plz usicheke, narudia usicheke.
Dr: Ucjali hii ndo kazi yangu siwezi kucheka mgonjwa.
Jamaa akavua suruali, Dr. kuona tu, maadili yakamshinda akaanza kucheka
mbaya kama dakika 5 hadi machozi!! Kwani kabolo ka jamaa kalikua kadogo
kama BETERY ya remote! Alipomaliza kucheka akamuuliza, haya tatizo nini?
Jamaa:Imevimba tokea juzi!!
Dr: Akazimia.
:faint::faint::faint::faint::faint: