Kisoda2
JF-Expert Member
- May 30, 2008
- 2,475
- 747
Jamaa bonge la mtu kaingia kwa dokta.
Jamaa: Dr. nina tatizo huku sirini.
Dr: Hebu vua nguo tuone.
Jamaa: Poa navua ila plz usicheke, narudia usicheke.
Dr: Ucjali hii ndo kazi yangu siwezi kucheka mgonjwa.
Jamaa akavua suruali, Dr. kuona tu, maadili yakamshinda akaanza kucheka mbaya kama dakika 5 hadi machozi!! Kwani kabolo ka jamaa kalikua kadogo kama BETERY ya remote! Alipomaliza kucheka akamuuliza, haya tatizo nini?
Jamaa:Imevimba tokea juzi!!
Dr: Akazimia.
:faint::faint::faint::faint::faint: