DR Ulimboka Jiandae kuchukua jimbo

DR Ulimboka Jiandae kuchukua jimbo

ibange

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2010
Posts
1,543
Reaction score
553
Dr Ulimboka ni katika watu wenye msimamo sana TZ. Mtu kama huyu ni potential sana kwa chadema. Namshauri aanze kujiandaa kuchukua jimbo alikotoka. Maandalizi lakini yanatakiwa kuanza mapema
 
Ngoja na mie nijiandae kuchukua jimbo..maana ndege wa magamba wameshanasa kwa ulimbo
 
Kwa yaliyotokea Arumeru, sasa hv lolote lawezatokea popote!
 
Dr Ulimboka ni katika watu wenye msimamo sana TZ. Mtu kama huyu ni potential sana kwa chadema. Namshauri aanze kujiandaa kuchukua jimbo alikotoka. Maandalizi lakini yanatakiwa kuanza mapema

Hata Steven Kanumba nae ajiandae kuchukua jimbo
 
kwa muda mrefu sana nimekuwa nikifikiria kuhusu huyu jamaa, ana sifa zote za kuwa kiongozi tena hayumbishwi. Kama huwa anachungulia humu JF tafadhali aufanyie kazi ushauri wetu. Ameonyesha sifa zote za kuwa kiongozi anayeonyesha njia! jamaa ni charismatic person, namshauri atafute jimbo lolote dsm ambalo ccm wanatawala, agombee akiwa cdm. Hii ni hazina! Mbowe, Slaa mchukueni huo kijana atawasaidia mno
 
Lakini ana kashfa ya kusababisha vifo vya watu kwa kuongoza mgomo. Akigombea CDM, hata mimi sitampigia kura, ingawa pia sitaipigia CCM. Nipo tayari niwapigie TLP au AFP, lakini si Ulimboka!
 
Ulimboka is a liability to whatever party itakayoamua kumsimamisha kugombea ubunge.
 
Mwacheni aendelee kutibu wagonjwa!
Ile fani wapo wachache sana.
 
Akachue fomu Kilombero jimbo la Mteketa halina mtu..au kwa WASSIRA..tehehe
 
Naona huu upepo sio kabisa kwa ccm, 2015 tutashuhudia mengi. Afu kumbukeni vijana watakuwa wamejiandikisha kwa wingi, pia hali ya maisha itakuwa tit sana, lazima ikulu tuingie kwa kishindo..
 
Dr Ulimboka ni katika watu wenye msimamo sana TZ. Mtu kama huyu ni potential sana kwa chadema. Namshauri aanze kujiandaa kuchukua jimbo alikotoka. Maandalizi lakini yanatakiwa kuanza mapema

Inategemea kama anataka kufanya siasa. Pia nani kasema yeye anaikubali CHADEMA?
 
Back
Top Bottom