DR Ulimboka Jiandae kuchukua jimbo

Dr Ulimboka ni katika watu wenye msimamo sana TZ. Mtu kama huyu ni potential sana kwa chadema. Namshauri aanze kujiandaa kuchukua jimbo alikotoka. Maandalizi lakini yanatakiwa kuanza mapema

why potential kwa CHADEMA? ccm hamumtaki?
 
KANUMBA ni freemason?

Siku hizi watu wamelichukulia neno freemason kwa uwepesi sana. Kila anayeonekana kufanikiwa ktk jamii utasikia yule freemasons, nani kasema Mungu anafurahia kuona watu aliowaumba wanaishi maisha ya taabu kwa umasikini? Jibidishe kwa kujitambua kipaji chako au utaalamu wako Mungu anakuzidishia. Tumuache Dr. Ulimboka atibu watu na kufanya tafiti za kitaalamu ktk idara ya afya atukomboe watz kupitia huko. Napendekeza hata Dr. Bilali. Dr. Migiro, Dr. Mwakyembe, Prof. Mwandosya warudi kukata chaki waongeze wataalamu ktk nyanja zao.
 
Kuna tofauti kubwa sana kati ya mwanaharakati na mwanasiasa,Ulimboka hata sifa ya mwanaharakati hajafikia,anakuzwa tu na media na social view,believe me akiingia katika siasa atapata big blow,kwani move zake za sasa zitzgeuka kuwa attack weapons,Nakubaliana na aliyesema kuwa si kila mwanaharakati anatakiwa kuwa mwanasiasa.
 
Masudi Kipanya ni mtu mwenye msimamo,Chadema ikimpata itakuwa imelamba dume!!
 
Kuna sifa moja kuu ya mwanasiasa mzuri. Awe na msimamo na asiyumbishwe kwa vitishe au pesa
 
kwa muda mrefu sana nimekuwa nikifikiria kuhusu huyu jamaa, ana sifa zote za kuwa kiongozi tena hayumbishwi. Kama huwa anachungulia humu JF tafadhali aufanyie kazi ushauri wetu. Ameonyesha sifa zote za kuwa kiongozi anayeonyesha njia! jamaa ni charismatic person, namshauri atafute jimbo lolote dsm ambalo ccm wanatawala, agombee akiwa cdm. Hii ni hazina! Mbowe, Slaa mchukueni huo kijana atawasaidia mno

NAUNGA MKONO HOJA KWA 100%. Maana Kama magamba walimchukua Prof Mwakyusa kwa kigezo cha kummaliza JKN,Kwanini CDM isimchukue Ulimboka kwa kigezo cha Ushupavu wake wa kudai haki?.Tena sio lazima agombee Dar tu,bali hata Rungwe inawezekana
 
Nakuunga mkono 101% 2015 Ulimboka gombea ubunge Rungwe west, kupitia Cdm sisi tutakuwa nyuma yako.
 
Hivi anatokea wapi asili? Kama ni Rungwe magharibi aende kulichukua jimbo 2015 kwa Pro. Mwakyusa chini ya chama cha upinzani. Naamini anaweza kusaidia sana maana CCM imewachosha watu wengi wa huko.
 
Siku hizi watu wamelichukulia neno freemason kwa uwepesi sana. Kila anayeonekana kufanikiwa ktk jamii utasikia yule freemasons, nani kasema Mungu anafurahia kuona watu aliowaumba wanaishi maisha ya taabu kwa umasikini? Jibidishe kwa kujitambua kipaji chako au utaalamu wako Mungu anakuzidishia. Tumuache Dr. Ulimboka atibu watu na kufanya tafiti za kitaalamu ktk idara ya afya atukomboe watz kupitia huko. Napendekeza hata Dr. Bilali. Dr. Migiro, Dr. Mwakyembe, Prof. Mwandosya warudi kukata chaki waongeze wataalamu ktk nyanja zao.

usimsahau Dr Nchimbi aloikimbia Idara ya Historia udsm,DR NAGU,DR KAWAMBWA,mama Tibaijuka,mama Lwakatare(akaongoze Kondoo),DR husen mwiny,prof Kahigi,MWAKYUSA,
Prof,MAJI MAREFU
 
Dr Ulimboka ni katika watu wenye msimamo sana TZ. Mtu kama huyu ni potential sana kwa chadema. Namshauri aanze kujiandaa kuchukua jimbo alikotoka. Maandalizi lakini yanatakiwa kuanza mapema

Naona aongoze maandamano na mgomo wa wafanyakazi wote Tanzania ili tufukuze wezi madarakani!!!!
 
Back
Top Bottom