Given Edward
JF-Expert Member
- Jan 11, 2011
- 850
- 202
ACP Ahmedi Msangi anaumia sana akisikia maneno haya! Inawezekana waliokuwa wanapotosha habari tangu asubuhi ni watu wa Usalama wa Taifa. Hii Idara inapaswa ivunjwe na isukwe upya!
TUMBIRI (PhD, University of HULL - UK),
tumbiri@chadema.or.tz,
tumbiri@jamiiforums.com
God is good
You mean Usalama wa Taifa IVUNJWE?
Ndiyo! Kama watu waliweza kuchonga nyaraka na kwenda kuiba pesa BoT yenyewe imelala inatusaidia nini? Inachojua yenyewe ni kunyofoa kucha za mateka!
TUMBIRI (PhD, University of HULL - UK),
tumbiri@jamiiforums.com,
tumbiri@chadema.or.tz

Ameeeeeeeeeeeeeeeeeeeeen!

May Almighty GOD bless this young man to be healthy and happy
That's a VERY high demand and I don't think it can happen easily. Reformation of the National Intelligence is very crucial.
kuna nyang'au kaweka uzi hapa jf eti dr. Uli is no more
Kwa hiyo unaridhika na huu utendaje wake? Na kibaya zaidi hata kuuwa mtu ambae hakuwa na silaha imeshindwa!
TUMBIRI (PhD, University of HULL - UK),
tumbiri@jamiiforums.com
All the time!God is good
kuna nyang'au kaweka uzi hapa jf eti dr. Uli is no more