The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 2,452
- 3,737
Ngoma za asili ndio maendeleo yenyewe. Hebu nipe definition ya maendeleo.Badala ya kuleta maendeleo wanaenda kufufua ngoa za asili? Kweli amnazo kabisa uyo NS
We acha kuandika kiuwizard wizardWow!! Hapa ukawa utawaona wanachungulia na kutoka.
Kwani umeambiwa ngoma ya taifa mkuuBadala ya kuleta maendeleo wanaenda kufufua ngoa za asili? Kweli amnazo kabisa uyo NS
Unahitaji maombi.Ngoma za asili ndio maendeleo yenyewe. Hebu nipe definition ya maendeleo.
Jibu swali usinikimbie. Nimekuuliza maendeleo ni nini?Unahitaji maombi.
Maendeleo watakuletea wale jamaa wenye ndevu wanaomkimbia dada Tulia kule Dodoma.Badala ya kuleta maendeleo wanaenda kufufua ngoa za asili? Kweli amnazo kabisa uyo NS
Una ugonjwa wa Lumumba syndromeWow!! Hapa ukawa utawaona wanachungulia na kutoka.
atakuwa wizard tu na yeye,ndo mana ana mawazo ya kishirikina shirikinaWe acha kuandika kiuwizard wizard
Mimi ni mchawi kumbe ulikuwa hujui. Tulieni tuwanyooshe. Mmeamua kuwa upande wa chama cha ku fail. Kila kitu lazima mta fail. CCM ndio baba lao Africa nzima.atakuwa wizard tu na yeye,ndo mana ana mawazo ya kishirikina shirikina
Wewe unaposifiwa na mme wako pekee unadhani wewe ni mzuri sasa pyuuuu.Niliwahi kusikia neno "Ugly woman" Sasa naliona kwa uhalisia! Dah Tulia ni ugly woman jamani!! Ila nayo ni sifa lakini!
Mimi ni mchawi kumbe ulikuwa hujui. Tulieni tuwanyooshe. Mmeamua kuwa upande wa chama cha ku fail. Kila kitu lazima mta fail. CCM ndio baba lao Africa nzima.
Lazima mtanyooka Ndani ya bunge
tunawanyoosha. Kwenye mitandao
tunawanyoosha. Serikalini tunawanyoosha
We ngeke acha sifa Na mikwala ya kijinga,Kama kunyooshwa wee ndiyo unanyooshwa
. Mtakoma mmeamua kuwa wapinzani mtakufa kwa pressure.
endelea kupiga kelele kwa malipo ya buku 7,labda utafikiriwa kwenye uafisa mtendaji wa kijijiMimi ni mchawi kumbe ulikuwa hujui. Tulieni tuwanyooshe. Mmeamua kuwa upande wa chama cha ku fail. Kila kitu lazima mta fail. CCM ndio baba lao Africa nzima.
Lazima mtanyooka Ndani ya bunge tunawanyoosha. Kwenye mitandao tunawanyoosha. Serikalini tunawanyoosha. Mtakoma mmeamua kuwa wapinzani mtakufa kwa pressure.