Nilimuona jana kwenye tv na yule mwingine S. H. Amon wakihamasisha kitu. Kilichonichekesha ni Amon kusema eti "elimu, elimu, elimu" ndio nikajua hawa jamamaa hawawezi kueleweka mpaka wakiwekwa benchi!mkimpa ubunge huyu dada, nitawadharau sana wanyakyusa.
I second the motionmkimpa ubunge huyu dada, nitawadharau sana wanyakyusa.
Haya mambo yalikuwepo toka siku nyingi tena mashindano hasa .Nakumbuka tulikuwa wadogo tunayaona haya.Naona wewe akili zako zote umejaa siasa kuna watu wanaona mbali zaidi ya siasa , vile vile kufufua ngoma za asili ambazo siku nyingi zilishaanza kusahaulika anatakiwa kupongezwa badala ya kushutumiwa .Badilikeni jamani.
Kutumia ngoma za asili ili kupata mteremko wa ubunge ni sawa na kuwadhalilisha watu wa Rungwe .Mbona Mr Sugu aliingia kwa gia ya kuendeleza Hiphop Mbeya na hatukusikia yote hayo,na kuna wengine wamekuwa maarufu kwa kutukana viongozi,mwache Tulia atulie na amang'oma yake.Hata asipoleta hiyo mipalaano Tu;ia atakuwa mbunge tu .Mambo ya watu wa CCm waachie wenyewe kama vile mambo ya Chadema mlivyoachiwa wenyewe kikolo.
Young man, get a life...inakusaidia nini kujenga chuki kwa Dr. Tulia? Amekwambia ana lengo la kugombea ubunge? Bavicha mbona mna roho mbaya hivyo? Hutaki na hata hupendi utamaduni ngoma zenu zipate zipate mtu wa kusambaza kwa ufadhili?Wakuu natanguliza salamu ,
Naomba kuweka wazi kabisa kwamba mimi ni mwenyeji wa Mkoa wa Mbeya , Wilaya ya Kyela , kijiji cha Kajunjumele ,utamaduni wa Kyela na Rungwe unashabihiiana kwa kiasi kikubwa sana , wakazi wengi wa Wilaya hii ni Wanyakyusa , japo kuna makabila mengine.
Tunazo ngoma za asili ambazo kwa uchache ni Mang'oma , Ipenenga , Samba nk , na tumecheza ngoma hizi kwa miaka mingi bila msaada wa hela ama chochote kutoka kwa yeyote , kama kuna aliyetoa chochote basi alitoa kama vile PDG Ndama Mutoto wa ng'ombe anavyowapa wanamuziki wa FM ACADEMIA .
Sasa cha kushangaza mwaka huu amezuka mfadhili wa ngoma za asili aitwaye Tulia Ackson , Huyu tetesi zinadokeza kwamba lengo lake si kufadhili ngoma za asili , maana alikuwepo miaka yote na alikuwa na uwezo kama huu wa leo , lakini hakufanya hivi , taarifa zinaonyesha kwamba amelenga kurubuni wakazi wa Rungwe ili achaguliwe mbunge uchaguzi ujao .
Mbinu hii ya kizamani haikubaliki , na naomba kuchukua nafasi hii kuwaasa wana Rungwe kumuogopa huyu mama kama ukoma .
Dr Tulia aliyeingia bungeni na kubebwa kwa mbeleko ya chuma hadi kwenye unaibu spika , amekuwa mstari wa mbele kudhalilisha na kunyanyasa wabunge wa upinzani , amezima mijadala mingi yenye tija ili kuokoa chama chake , huyu hawezi kuwa msaada wa Akina Mama wauza ndizi na maziwa wa ushirika au Kiwira , hafai hata kuwa Mwenyekiti wa kijiji cha Makandana , hafai .
Dr Ngunangwa aliwahi kuwauliza waliokuwa wanajipitisha kwenye jimbo lake huko Njombe na kutoa zawadi za baiskeli nk , kwamba WALIKWINA ? yaani kwa kiswahili , MIAKA YOTE WALIKUWA WAPI ?
Nakala ya uzi huu imfikie JOHN MWAMBIGIJA .
Unakosea mkuu.unafahamu amefanya mambo mangapi wilaya ya rungwe yote? Au wewe umeona hilo la ngoma za asili tu?Kutumia ngoma za asili ili kupata mteremko wa ubunge ni sawa na kuwadhalilisha watu wa Rungwe .
Ni kweli nimetangaza nia lakini si Rungwe , mimi nimejipanga kumuondoa Nkurunzinza Mwakyembe Kyela .nakumbuka kukusoma huku ukitangaza nia. au ndio kusema mpinzani wako kakuzidi kete? pambana kama unaweza badala ya kutulilia sisi.
ALIKWINA ?Unakosea mkuu.unafahamu amefanya mambo mangapi wilaya ya rungwe yote? Au wewe umeona hilo la ngoma za asili tu?
Acha unafiki.
Sauli na mwambigija walikwina pia? Kipindi wanaelezea matatizo ya jimbo la rungwe na huku wakiwemo siku zote wanaona.walikwina?ALIKWINA ?
Shurti asigombee ubunge ili nia yake iendelee kuwa njemaHaya mambo yalikuwepo toka siku nyingi tena mashindano hasa .Nakumbuka tulikuwa wadogo tunayaona haya.Naona wewe akili zako zote umejaa siasa kuna watu wanaona mbali zaidi ya siasa , vile vile kufufua ngoma za asili ambazo siku nyingi zilishaanza kusahaulika anatakiwa kupongezwa badala ya kushutumiwa .Badilikeni jamani.
Lengo lake ni ubunge piga , ua , galagaza .Shurti asigombee ubunge ili nia yake iendelee kuwa njema
Unauliza tu ! Hao unaowasema hapa wanaishi siku zote Rungwe na wanashiriki hata kucheza hizo ngoma miaka yote , kosa la Sauli ni kujiingiza ccm , atajutia milele ! Ni heri angejikalia kando tu .Sauli na mwambigija walikwina pia? Kipindi wanaelezea matatizo ya jimbo la rungwe na huku wakiwemo siku zote wanaona.walikwina?
Hahah wapi wewe hao waheshimiwa ulikula nao,kabla ya wao kutangaza nia ama kuanza kampeni? Yuko wapi saiv mzee wa upako,mbona hatumuoni tena saiv?Unauliza tu ! Hao unaowasema hapa wanaishi siku zote Rungwe na wanashiriki hata kucheza hizo ngoma miaka yote , kosa la Sauli ni kujiingiza ccm , atajutia milele ! Ni heri angejikalia kando tu .
Utamsikia wapi na Magufuli anaogopa siasa ?Hahah wapi wewe hao waheshimiwa ulikula nao,kabla ya wao kutangaza nia ama kuanza kampeni? Yuko wapi saiv mzee wa upako,mbona hatumuoni tena saiv?