Dr. Slaa ziarani Marekani

sitasahau ile hotuba ya kufa mtu ulioimwaga kipindi kileeee , Tunamshukuru sana Mungu kwa kukuumba Dr Slaa ndani ya nchi hii , wewe ni lulu .
 
Wamarekani ni watu wa kucheza nao kwa akili sana! Najua USA wanataka kuhakikishiwa kuwa interest zao zitalindwa pindi CHADEMA wakichukua nchi... Ni Vema sana Mbowe na Slaa wakawa makini na waweke wazi kuwa nchi hii Rasilimali zake lazima ziwanufaishe Watanzania kwanza! ikiwezekana wawaambie ukweli kuwa na sisi kama wao kwani tunatanguliza maslahi ya nchi yetu kwanza ...
 
Wengine wakienda ziara nchi za nje wanafuja pesa za serikali LAKINI slaa akienda?
anafuja pesa za............................?s.......././...e/.,.,..,,,ng;;;,,,,,,,,,,,e sana:noidea:
 

Dr Slaa amekwenda na Girl friend wake?
 
Dr Slaa amekwenda na Girl friend wake?


Hii ndio akili iliyosalia,Kwenye Mwenge na kipindi cha kampeni,kampeni zikiisha habari yao wanayo.

Nikukumbushe tu kuwa safari ya Dr.slaa ndo ungejadili,mambo ya girlfriend hauatusaidii,kwani hata wewe hatijauliza huna au unaye
 
Hongera Raisi wetu wa mioyoni tayari dunia inajua wewe ndio Raisi ujaye tunafurahi jinsi watanzania ambavyo wamejizatiti kwamba safari hii haibiwi kura mtu nenda uwaeleze mipango na sera nzuri za chama chako
 
Tunangoja picha kama zile za beji ya NASA, zawadi ambayo hajapewa yoyote duniani kasoro Rais wa USA na Slaa peke yake.

Kwi kwi kwi teh teh teh.


Upo? Sisi hatuendi kwenye 787 simulators kama kinders!
 
ameenda kuwapigia magoti wazungu wamsaidie uchaguzi mkuu, kibaraka wa wazungu
 
Hii ndio akili iliyosalia,Kwenye Mwenge na kipindi cha kampeni,kampeni zikiisha habari yao wanayo.

Nikukumbushe tu kuwa safari ya Dr.slaa ndo ungejadili,mambo ya girlfriend hauatusaidii,kwani hata wewe hatijauliza huna au unaye

Mkuu mbona hujajibu swali langu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…