Saccos kwa kuchoma pesa nawakubali.Ngoja October muone ruzuku yenu itakavyoporomoka.Lazima kila mtu atachagua mlango wa kutokea.Wamburu kivyao na Wachaga kivyao.
Inasemekana mlimuibia Kura 2010,Mwaka huu inasemekana wamejipanga kuhakikisha hakuna wizi wa Kura.Kuhusu Ukabila mnaohubiri hauna nafasi Tanzania.Mmejaribu Udini,Maaskofu wamewaumbua.Itafika wakati mtashindwa kukanyaga Arusha na Moshi kwa sababu zetu za Ukabila.Jifunzeni kutoka Pemba mlivyogeuzwa kuwa Wapinzani wa Kudumu.
Akituwakilisha vema na kutetea maslahi ya Tanzania na watu wake. Kwenye panel discussion na negotiations Dr Slaa ni level ya juu saana. Mungu akulinde Mh Rais