Dr. Slaa wodini Muhimbili Hospital

Dr. Slaa wodini Muhimbili Hospital

HYDROCHLORIC

Member
Joined
Jan 9, 2011
Posts
30
Reaction score
1
Wadau wa JF kunatetesi kuwa Rais wetu Dr. Slaa amelazwa toka juzi jumamosi kwa tatizo la mkono kuwa kafanyiwa upasuaji katika Hospitali ya Muhimbili kitengo cha Mifupa(MOI). Tunaomba mtujuze kama ni kweli kuhusu tetesi hizi sisi tulio mbali na Dar es salaam.
 
Tunafahamu wote kwamba alivunjika mkono kama amelazwa mungu amponye rais wetu mpendwa amen.
 
inabidi ulinzi uwe mkali hapo hispital, maana keshawachachafya sana hao mafisadi
 
Atapona tu Mungu amjaalie.
Nampenda Rais wangu Slaa ila ushauri ni kwamba apunguze kushiriki tendo lile tamu kwa kipindi hiki make inasemekana ukiwa unaumwa either mguu au mkono ucvisit sana kale kamchezo katamu so nahisi atakuwa anafanya hivyo.
Huu ni ushauri msiende mbali jamani Magreat Thinkers make hamchelewi kuipindua maada husika na kuanza kunishambulia mimi.
Namwomba azingatie hilo coz tunamhtaj sana sahz coz c mda tutaanza maandamano ya Nchi nzima kushinikiza upatikanaji wa katiba mpya sio mchakato waprolong mpaka uchaguzi ujao coz kwanijuavyo mm b4 dec2015 Dk wetu atakuwa Mtukufu Rais wa URT.
Ni hayo tu.
 
Mwenye uhakika atupe ujumbe tukamjulie khali. Wish him fast recovery Mr. Invisible President!
 
Atapona tu Mungu amjaalie.
Nampenda Rais wangu Slaa ila ushauri ni kwamba apunguze kushiriki tendo lile tamu kwa kipindi hiki make inasemekana ukiwa unaumwa either mguu au mkono ucvisit sana kale kamchezo katamu so nahisi atakuwa anafanya hivyo.
Huu ni ushauri msiende mbali jamani Magreat Thinkers make hamchelewi kuipindua maada husika na kuanza kunishambulia mimi.
Namwomba azingatie hilo coz tunamhtaj sana sahz coz c mda tutaanza maandamano ya Nchi nzima kushinikiza upatikanaji wa katiba mpya sio mchakato waprolong mpaka uchaguzi ujao coz kwanijuavyo mm b4 dec2015 Dk wetu atakuwa Mtukufu Rais wa URT.
Ni hayo tu.

Ndo Tatizo laUfinyu wa mawazo kama nyie

Usisha ubongo wako ukiwa unaandika hapa sio kukurupuka uko na pombe unakuja JF kuandika
 
inabidi ulinzi uwe mkali hapo hispital, maana keshawachachafya sana hao mafisadi

Mungu ni mlinzi kuliko binadamu, kwa hiyo Mungu wetu atamlinda na atapona na kurudi kuendeleza mapambano. Kwa wale wanaoamini biblia imeandikwa katika kitabu cha zaburi kwamba Mungu asipolinda nyumba wailindao wakesha bure, kwa maana nyingine Mungu yuko incharge na Maisha ya Dr wetu.
 
Rais kipenzi cha watanzania apone haraka Rais aliyepata kibali kwa Mungu na wanadamu akisema kitu Tanzania nzima inamsikiliza na kuchukua hatua mpaka wabunge wa ccm. Wanamkubali LIVE LONGER MR. PRESIDENT DR. W.L. SILAA
 
Upone haraka Dr!...Hatutishiki kitu wala kuongeza Ulinzi, Mungu anamlinda sana , maana hana hila na mtu, na madaktari wake wanampenda sana kwa taarifa yenu!
 
Dowans Jamani huku mgao umeanza mapema sana! Kila unapotokea mgao nazidi kumchukia Mkwere alisema hiyo itakuwa historia.
 
Back
Top Bottom