LordJustice1
JF-Expert Member
- Jan 19, 2011
- 2,263
- 533
Harufu ya ukabila!Mimi ni mnyamwezi na nafahamu mazingira na khulka za wanyamwezi, juu ya alichofanya Rostam...CCM ISAHAU JUU YA USHINDI WA HAKI KATIKA MKOA WA TBR ktk chaguzi yoyote ijayo. Ni doa na pigo kubwa sana kwao CCM TBR, waila kwa wasioufahamu vema mkoa ule...wanaweza kudai kwamba CCM inaweza kuwa hai kwa miaka 10 ijayo.Dr Slaa mnapaswa mmuweke mtu ambaye ni kweli anatoka TBR, asipandikizwe mtu kinadharia kuwa ni mzawa wa TBR...wale hawachelewi kumsusa. Pelekeni mtu asilia ya mkoa ule na walau anajua lugha ya kinyamwezi na shupavu, MTASHINDA.
Harufu ya udini mtupu! Tukiwa na mawazo ya kijinga kama ya kwako nchi itatushinda!Mbona muiran aliweza kuwa mbunge kwa miaka kibao? Sema waweke mislamu kwa vile TBR inawaislamu kibao!
Ndugu yangu acha mchezo na njaa.tena wanamlilia mtu aliyetufilisi! Wametia aibu kwa kweli.
magamba yatachelewesha huo uchaguzi yakisoma upepo na kama yakijiridhisha jimbo watalikosa,yataitisha uchaguzi mwezi september 2015
Cio AIBU tu mkuu na KICHEFUCHEFU! Cjui wamerogwa!!!!!????Wanyamwezi wanatia AIBU sana wana mlilia FISADI!
Juhudi za makusudi zifanyike kuleta ushindi Igunga kama Tarime.Ni matumaini yangu kwamba Chadema itachukua jimbo la Igunga na kuwa mlango wetu wa kuingia Tabora kabla ya 2015