Edson Zephania
JF-Expert Member
- Apr 8, 2011
- 517
- 112
Katika wall page yake ya facebook Dr Slaa kaandika.
Tunaweza kuiweka Igunga kuwa ngome ya Chadema. Wana Tabora watuunge mkono katika mageuzi ya kweli.
"Kuiweka Igunga"?????Katika wall page yake ya facebook Dr Slaa kaandika.Tunaweza kuiweka Igunga kuwa ngome ya Chadema. Wana Tabora watuunge mkono katika mageuzi ya kweli.
Ina maana haiwezekani?"Kuiweka Igunga"?????
Yaani mkija ugunga hata mimi ccm nitawapigia kura lakini sitahama chama kwani haya yote ni nguvu na jasho lenu kuwafichua mafisadi
Mimi ni mnyamwezi na nafahamu mazingira na khulka za wanyamwezi, juu ya alichofanya Rostam...CCM ISAHAU JUU YA USHINDI WA HAKI KATIKA MKOA WA TBR ktk chaguzi yoyote ijayo. Ni doa na pigo kubwa sana kwao CCM TBR, waila kwa wasioufahamu vema mkoa ule...wanaweza kudai kwamba CCM inaweza kuwa hai kwa miaka 10 ijayo.
Dr Slaa mnapaswa mmuweke mtu ambaye ni kweli anatoka TBR, asipandikizwe mtu kinadharia kuwa ni mzawa wa TBR...wale hawachelewi kumsusa. Pelekeni mtu asilia ya mkoa ule na walau anajua lugha ya kinyamwezi na shupavu, MTASHINDA.
Wanyamwezi wanatia AIBU sana wana mlilia FISADI!Mimi ni mnyamwezi na nafahamu mazingira na khulka za wanyamwezi, juu ya alichofanya Rostam...CCM ISAHAU JUU YA USHINDI WA HAKI KATIKA MKOA WA TBR ktk chaguzi yoyote ijayo. Ni doa na pigo kubwa sana kwao CCM TBR, waila kwa wasioufahamu vema mkoa ule...wanaweza kudai kwamba CCM inaweza kuwa hai kwa miaka 10 ijayo.Dr Slaa mnapaswa mmuweke mtu ambaye ni kweli anatoka TBR, asipandikizwe mtu kinadharia kuwa ni mzawa wa TBR...wale hawachelewi kumsusa. Pelekeni mtu asilia ya mkoa ule na walau anajua lugha ya kinyamwezi na shupavu, MTASHINDA.
Wanyamwezi wanatia AIBU sana wana mlilia FISADI!
tena wanamlilia mtu aliyetufilisi! Wametia aibu kwa kweli.