Dr. Slaa: Wakorofi CHADEMA ni Wajinga

sasa ujinga wao ukowapi au kuzungumza ukweli ni bora tu kuzijibu tuhuma ujuulikane ukweli
 
Chadema sio lazima iongozwe na watu wa kaskazini tu. Ni muda sasa na wengine wapewe nafasi.
 
atakimaliza chama kanisan kashindwa ss kwenye siasa ndo anaua kabisas

Chama ameshakimaliza zamni sana, kumabakia jina tu wamebakia kujibanza kwa Ukawa, wanadhani Mbatia na Seif ni wajinga. wasubiri khabari yao karibuni hivi.
 

We umetumwa na Nape
 
mkuu umesoma uzi au unatoa matusi2 hoja ya nguvu ni uwendawazim

hoja nimeisoma na nimeilewa sana, tatizo linakuja unapojifanya kutoa ushaur kwa jirani yako jinsi ya kumfumania mke wake wakat kwako unajua kabisa anakiuza tena bila kujivunga, ningekuona wa maana ungezungumzia ya mwenyekiti wenu kuliko majungu mnayopanga, hivi hata aibu hamuoni kisa tu elfu 7 ,halaf baada ya hapo unaingia kitaaa eti huna kazi
 
Hivi kwanini nikisoma thread zako huwa namkumbuka Zitto Kabwe yule bro aliyekuwaga anaheshimika sana kisiasa kabla hajapoteza heshima na umaarufu wa kisiasa.

Alipoteza heshima na umaarufu ni Dk Slaa. aliefikia hatua ya kupopolewa mawe jukwaani,aliekokotwa mahakamani kwa kunyakua mke wamtu.
 
Hela za ruzuku hazifiki mikoani. Wana chadema mikoani njaa zinawauma kweli. Wao wanakopeshana mapesa ya chama...
 
Mbowe na Slaa waitishe kikao cha baraza kuu ili mbivu na mbichi zijulikane.Kama wao ni wasafi itajulikana tu haina haja ya wao kuwakashifu wenzao,Wajibu tuhuma zinazowakabili maana hiyo ndiyo demokrasia wanayosema wanaipigania nchi hii.
 
Nani ashike nafac yake? Ludovi ama mwigamba wa majigambo, ama Zitto msomi mwenye maneno mengi yasiyo na strategis hadi awe rais ndo awe waz?
 
Halafu jina lako linafanana na Sidiria.
 
Nani ashike nafac yake? Ludovi ama mwigamba wa majigambo, ama Zitto msomi mwenye maneno mengi yasiyo na strategis hadi awe rais ndo awe waz?

wamevunja katiba kungangania madaraka
 
Wahamie ACT kwenye demokarsia, wang'atuke kama kweli wameona uozo.
 

Sasa chama kimekuwa vipande vipande na nguvu ya umma imeisha sasa wanajificha nyuma ya UKAWA.


Hili ni neno kubwa sana..

Siku UKAWA itakapokufa ndio siku ambayo Chadema itakapobaki uchi mbele ya hadhira..
 
mkuu umesoma uzi au unatoa matusi2 hoja ya nguvu ni uwendawazim


HUJIELEWI HIVI UNASOMA UKIWA UMEVAA MIUWANI YA MBAO HOJA ULIYO TOA NI IPI? ACHA USHANGINGI KICHWA CHA MADA WALA HAKI HUSIANI NA ALICHO ANDIKA?Kaa! mbali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…