DR. SLAA Vs MH. LOWASA

Wewe Raia uloleta mada huna issue huwezi kumfananisha Dr Slaa au kumpambanisha Dr Slaa na mwizi Lowasa,kwani hata watoto wa chekechea wanamfahamu Lowasa kuwa ni mwizi kashawishiwa na chama chake ajiuzulu kwa ufisadi sasa kama akigombea urais atakuwa na jipya gani wakati alishindwa kuisimamia serikali wakati alivyokuwa waziri mkuu???Kaka leta habari zingine sio hii

Taja alivyoiba lowasa
 
We ni chizi, ushawishi wako labda kwa vijana wa mtera uko kwa lusinde mende mdogo
Natangaza rasmi rowassa akigombea kwa chama chochote mimi nitakua shabiki wake nambari moja na hata akitaka anitafute niwe mfanya kampeni wake upande wa vijana nina ushawishi mkbwa
 
Wakuu, kusema kweli EL anaweza kumshinda Slaa kwa kura za wizi tu, lakini kama uchaguzi unakuwa huru na haki, hakuna mtu ndani ya ccm anayeweza hata kumtoa jasho Slaa. Labda Pombe anaweza kujaribu kidogo.
 
Kama lengo la mwanzilishi wa mada hii ni kutaka kufanya kura ya maoni, basi CCM wakifikia hatua ya kumsimamisha Mh. Edward Ngoyai Lowassa kuwa mgombea wao 2015, itakuwa ni adhabu ya kifo kwa chama chao. Huu ndio utakuwa udhihirisho wazi wa mpasuko uliomo ndani ya chama chao. Kitasambaratika na huo utakuwa ushindi mkubwa kwa vyama makini kama CHADEMA na viongozi wake na utakuwa mwanzo wa ushindi wa kiuchumi, kisiasa na kimaendeleo kwa Watanzania tuliopigika kwa miaka 50+. Hivyo mzidi kuwashawishi CCM wamsimamishe Mh. Lowassa waone mwisho wao kwa faida ya nchi yetu.
 
natangaza rasmi rowassa akigombea kwa chama chochote mimi nitakua shabiki wake nambari moja na hata akitaka anitafute niwe mfanya kampeni wake upande wa vijana nina ushawishi mkbwa

watu jamii yako tayari wanafaidika na fedha za ufisadi!
 
LOWASA??????? MHH WE MTOA MADA LAZIMA UMETUMWA ANGALAU ATAJWE TAJWE. HATUMTAKI NA HATAMTAKA TENA:baby:
 
Lowassa ni tishio kwa ufisadi Dr. Slaa ni tishio kwa kutetea wanyonge na kufichua mafisadi
Kweli mkuu huwezi kumshidanisha baba na mtoto, labda kama tunamtafuta rais wa mond
uli na siyo rais wa Tanzania, Lowassa hana hata chembe ya sifa ya kuwa kiongozi mkuu wa nchi.
 
Back
Top Bottom