DR. SLAA Vs MH. LOWASA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

DR. SLAA Vs MH. LOWASA

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by mapanga3, Jun 22, 2012.

 1. mapanga3

  mapanga3 JF-Expert Member

  #1
  Jun 22, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 659
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 180
  Hivi vichwa viwili vinawezekuwa tishio sana kama vitaamua kugombea urais wa nchi 2015. Kwa mtazamo wangu kama ccm wakimpitisha Lowasa kuwa mgombea urais na Cdm wakimpitisha Dr. Slaa bila shaka mpambano utakuwa mkali sana, lakini bado nachelea kusema ni nani ataibuka mshindi. Uwezo wa Lowasa ni mkubwa na wa Dr. Slaa pia. Je nani zaid?
   
 2. M

  Mr.Busta JF-Expert Member

  #2
  Jun 22, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 672
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  dr.slaa zaidi.kwani hajakubwa na kashifa na utendaji wake unaonekana.lowasa atabebwa na fitna chafu kama vile kuic kura.
   
 3. cooper

  cooper JF-Expert Member

  #3
  Jun 22, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 394
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  Naamini jibu unalo ila unataka kujua upepo wa wengi uaangukia wapi.... bisha
   
 4. mutabilwa

  mutabilwa JF-Expert Member

  #4
  Jun 22, 2012
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 305
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Dr. Slaa mwisho
   
 5. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #5
  Jun 22, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 10,797
  Likes Received: 3,883
  Trophy Points: 280
  lowassa kichuguu DOCTOR mlima kilimanjaro!!
   
 6. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #6
  Jun 22, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Lowassa ni tishio kwa ufisadi Dr. Slaa ni tishio kwa kutetea wanyonge na kufichua mafisadi
   
 7. Medical Dictionary

  Medical Dictionary JF-Expert Member

  #7
  Jun 22, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 1,053
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  kwanza ijulikane wakati huo lowassa akisimama kama mgombea,ccm ipo vipandevipande tayari..sabab ya makundi
   
 8. M

  Mboko JF-Expert Member

  #8
  Jun 22, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 1,067
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Wewe Raia uloleta mada huna issue huwezi kumfananisha Dr Slaa au kumpambanisha Dr Slaa na mwizi Lowasa,kwani hata watoto wa chekechea wanamfahamu Lowasa kuwa ni mwizi kashawishiwa na chama chake ajiuzulu kwa ufisadi sasa kama akigombea urais atakuwa na jipya gani wakati alishindwa kuisimamia serikali wakati alivyokuwa waziri mkuu???Kaka leta habari zingine sio hii
   
 9. i

  ibange JF-Expert Member

  #9
  Jun 22, 2012
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 1,545
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Jamii forum tuanze kura ya maoni. Tengeneza poll tuone nani zaidi
   
 10. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #10
  Jun 22, 2012
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  thread za LOWASA zimeanza tena?
   
 11. Makala Jr

  Makala Jr JF-Expert Member

  #11
  Jun 22, 2012
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 3,397
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Dr.Slaa ndiye kiongozi pekee anayeweza kuleta mabadiliko chanya kwenye hii nchi inayoliwa na mafisadi wa ccm.Lowassa amekaa kihuni-kihuni tu.Kwanza sidhani kama watampitisha kuwa mgombea urais LAKINI hata wakimpitisha sitaduwaa kwa sababu inawezekana Chama DHAIFU,chini ya Mwenyekiti DHAIFU,kinaweza kumpendekeza mtu DHAIFU na MBADHILIFU wa mali ya umma ili aende Ikulu kuficha UDHAIFU wa Kiongozi DHAIFU atakayemaliza muda wake.
   
 12. K

  Kingsimba JF-Expert Member

  #12
  Jun 22, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 376
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Natangaza rasmi rowassa akigombea kwa chama chochote mimi nitakua shabiki wake nambari moja na hata akitaka anitafute niwe mfanya kampeni wake upande wa vijana nina ushawishi mkbwa
   
 13. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #13
  Jun 22, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Thread zake zimekuwa kama tumbo la .......... hapa Jf
   
 14. mapanga3

  mapanga3 JF-Expert Member

  #14
  Jun 22, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 659
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 180
  Nikweli Lowasa.alichafuka sana kwenye richmond japo hakuhusika moja kwa moja. Ndg zangu sina sababu yoyote ya kumtetea Lowasa ila naeleza ninajua juu yake, kujiudhulu kwake kulisababishwa na kutaka kumficha muhusika wa richmond kwa sababu ya uswaiba wake na aliyekuwa muhusika wa richmond. Mbali na hilo Mh. Lowasa ni mchapa kaz mzuri hakuna asiyemfahamu. Pamoja na hoja zenu bado naamini Lowasa anauwezo mzuri tena anaweza kuongoza nchi. Naamini Lowasa kama akipata nafasi ya kuongoza nchi atakuwa makini ili kurudisha imani na heshima yake aliyoitoa sadaka kwaajili ya uswaiba. Napenda kuwafahamisha wa jf kuwa Mh. Lowasa anatafuta namna ya kuueleza umma ukweli kuhusu richmond tusubiri wakat ufike. Mm binafsi pamoja na uwezo mzuri na usafi wa Dr. Slaa bado naamini Lowasa bado nitishio. Bila kujari itikadi kati ya hawa wawili yoyote atakaye pita mimi kwangu ni SAFI SANA!
   
 15. Mzalendo Mkuu

  Mzalendo Mkuu JF-Expert Member

  #15
  Jun 22, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 737
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Kweli? Inawezekana. Ki ukweli mpaka sasa wao ni Watanzania wenye mvuto sana. Wote wana nguvu sana na wanahistoria zenye mafanikio makubwa sana. Shida kubwa ni vyama vyao. Vinawatofautisha.
   
 16. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #16
  Jun 22, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,627
  Likes Received: 9,838
  Trophy Points: 280
  LOWASA hawezi kupambana na docta kwani tayari ana kashfa nzito sana....na bado kwenye chama kuna minyukano sana...i think bado DOCTA anayo nafasi kubwa ya kumshinda lowasa
   
 17. Imany John

  Imany John Verified User

  #17
  Jun 22, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 2,776
  Likes Received: 262
  Trophy Points: 180
  Je tunahitaji rais ambaye anasifika kwa ufisadi zaidi ya huyu tuliyekuwa nae?

  Kama tunataka rais wa type hiyo nafikiri LOWASA IS THE BEST ONE!
   
 18. Imany John

  Imany John Verified User

  #18
  Jun 22, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 2,776
  Likes Received: 262
  Trophy Points: 180
  Mpaka muda huu umesha LOWA-HASA.

  Subiri ukaushwe.
   
 19. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #19
  Jun 22, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Gamba tililolitema kwenye kura za maoni? huo uwezo liutoe wapi? hilo lina uozo sio uwezo.
   
 20. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #20
  Jun 22, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,520
  Likes Received: 1,691
  Trophy Points: 280
  he! Haja kubwa tena???!!!!
   
Loading...