Indeed you are missing something!
Does international standards allow vote rigging? If you refer to international standards you should also measure the election process won by him on the same international standards.
- hivi mnatumia vigezo gani kuwalinganisha maana kama ni kutumia standard za kimataifa politically, makamba as much as i disagree na style ya uongozi wake, bado anakuwa the man kwa sababu amekiwezesha chama chake kushinda uchaguzi! So!
- chama chochote cha siasa duniani, kinakuwa na lengo moja tu! Nalo ni kushinda uchaguzi wa taifa kwanza, mengine baadaye for that standard makamba is the man hapa, unless i am missing something here!
william @ new york city, usa.
- Hivi mnatumia vigezo gani kuwalinganisha maana kama ni kutumia standard za kimataifa politically, Makamba as much as I disagree na style ya uongozi wake, bado anakuwa the man kwa sababu amekiwezesha chama chake kushinda uchaguzi! So!
- Chama chochote cha siasa Duniani, kinakuwa na lengo moja tu! Nalo ni kushinda uchaguzi wa taifa kwanza, mengine baadaye for that standard Makamba is the man hapa, Unless I am missing something here!
William @ New York City, USA.
Wote wanapwaya. Hawawezi kusimamia utendaji wa vyama vyao kwa umakini.
we uko New york gani uwe na uwezo mdogo kiasi hiki wa kuchambua mambo, kama chama chake kingeshinda kihalali ndio angestahili angalau sifa kidogo lakini kwa hali ya mambo ilivyo huna sababu yoyote ya kumpa sifa hizo
W.J. Malecela my friend you are not missing something rather the whole thing. Let's assume CCM ilishinda kihalali alafu tuashum 2005 ilikua baseline kwa Mwl aliyefukuzwa kazi Makamba na Dr. Slaa(PhD). Tuchukue uchaguzi wa 2010 kama reference point yetu kwa analysis, na indicator iwe ni status ya chama in terms of number of MP seat gained, popularity and acceptance ya chama na stability ya chama 2010/2011.- Hivi mnatumia vigezo gani kuwalinganisha maana kama ni kutumia standard za kimataifa politically, Makamba as much as I disagree na style ya uongozi wake, bado anakuwa the man kwa sababu amekiwezesha chama chake kushinda uchaguzi! So!
- Chama chochote cha siasa Duniani, kinakuwa na lengo moja tu! Nalo ni kushinda uchaguzi wa taifa kwanza, mengine baadaye for that standard Makamba is the man hapa, Unless I am missing something here!
William @ New York City, USA.
hata baba yako leo akiiona hii post atafadhaika sana.- Hivi mnatumia vigezo gani kuwalinganisha maana kama ni kutumia standard za kimataifa politically, Makamba as much as I disagree na style ya uongozi wake, bado anakuwa the man kwa sababu amekiwezesha chama chake kushinda uchaguzi! So!
- Chama chochote cha siasa Duniani, kinakuwa na lengo moja tu! Nalo ni kushinda uchaguzi wa taifa kwanza, mengine baadaye for that standard Makamba is the man hapa, Unless I am missing something here!
William @ New York City, USA.
Sio kosa lake nadhani atakuwa mwanachama wa chama cha SAU,huyu jamaa ana akili kama za Dovutwa.Pole mkuu nadhani una matatizo yafuatayo....................Pole kwa matatizo yako.........
- Uwezo mdogo wa kupambanua thread..na nitafatilia michango yako mingine humu JF nijiridhishe na maneno yangu
- Unaonekana kama ni mtu uliye na mzaha kwa mambo ya msingi..
- Umejiunga hapa JF ili uwaambie ndugu zako kuwa na wewe ni mwanachama wa JF...na huna mchango wa maana katika jukwaa hili
- Hutaki kuishughulisha akili yako kufikiri kwa makini.....UNA JIBU OVYO OVYO KAMA NAIBU WAZIRI WA FEDHA ALIYEPITA..SUMARI
Very true u a missing some thing big man.. When CCM a stealing votes in last year election, making people poor with their poor governance and all the theft stuff going on in Tanzania.. Can u call Makamba very true leader????
Hunger, poverty and still called this good leader???
Slaa is a leader to make this nation moving forward.. And i will happen in 2015!!!