Dr. Slaa Unayajua Haya? Picha ya Chopa

Dr. Slaa Unayajua Haya? Picha ya Chopa

Dk Slaa hana jipya midhali mama watoto wake ni Diwani wa CCM, kwani sadaka huanza nyumbani au ulingano huwa mwanzo ndani mwako sasa yeye yamemshinda Kwisha hata 2010 hapo KARATU Slaa na CHADEMA yake watapasikia Redioni. Chama cha siasa hakiendeshwi kwa Ukabila wala Ukoo na Udini kama kiendeshavyo CHADEMA kitabakia Kuzurura na CHOPPA nchi Nzima hawataambulia lolote huko mbele twendako kwani Watanzania tuliowengi hatuufurahii UCHAGA wa CHADEMA.

Mbona unaandika kama mganga wa kienyeji? Je, unaweza kuthibitisha uliyoyaandika [kabila/koo/dini inayoongoza CHADEMA]? Umejuaje kwamba hawataambulia lolote? Uchaguzi wa hivi majuzi kule Busanda, hawakuambulia lolote? "Watanzania tuliowengi hatuufurahii UCHAGA wa CHADEMA" - Wewe na nani? Mkeo? "Tuliowengi" ni namba ngapi? Je unaufurahia UKWERE wa CCM?
 
Nilikuwa napita mitaani nikaona kijitabu kina Title :- Dr. Slaa unayajua haya? Pia kimechorwa picha ya Chopa. Kitabu kilikuwa kinauzwa na wauza magazeti.

Ndani ya kitabu kuna propaganda zilizoandikwa kuhusu Marehemu Chacha Wangwe, Ruzuku ya chama, Ukabila, matumizi ya chopa, Bilicanas na mengineyo.

Naomba taarifa zaidi.

Tuwekee walau summary ya yaliyoandikwa ama uscan kajikitabu kwenye Pdf uturushie. Hiyo tawafanya watu wote waweze kuchangia na kukupa taarifa zaidi ka ulivyoomba
 
Back
Top Bottom