Dr. Slaa, umeketi upande gani sasa?

Dr. Slaa, umeketi upande gani sasa?

Sote tunalifahamu hili. Lakini kwa kukumbushana tu, Dr. Aliondoka CHADEMA kwa sababu ya Ukaribisho wa Lowasa ambao ulikuwa ni kinyume na utashi wake. Hoja kuu ilikuwa kwamba Lowasa ni fisadi na hakupashwa kutendewa na upinzani namna alivyotendewa.

Dr Slaa hakuishia kuondoka tu, bali pia alikwenda hatua moja mbele ya kusaliti upinzani na kupigia kampeni Chama Cha Mapinduzi akiamini kwamba kwa kuondoka kwa LOwasa, basi ufisadi umekwisha ccm. Bila shaka aliamini kwamba yeye na CCM sasa watakuwa wakiongea lugha moja, wakitembea njia moja, na kushare vision.

Lakini hivi punde, Mwenyekiti wa CCM ametamka suala linaloonyesha kwamba Lowasa hana hatia yoyote na anastahili kuenziwa kwa mambo makuu aliyolifanyia taifa hili.

Ninaomba kusikia kutoka kwa Dr. Slaa. Nini msimamo wako Dr kwa sasa, juu ya ubia wako na ccm, ccm inayotangaza kumuenzi Lowasa kwa kuwa ni mtu safi, mtu safi kwa rafiki zako CCM ambao umeingia nao ubia wa imani ambao wanamsifu mtu unayeamini ni mbaya kiasi cha kubadilisha kwa sehemu kubwa ndoto za maisha yako?

Uliamini wa haraka haraka kwamba CCM without Lowasa ni takatifu. CCM hiyo hiyo inatangaza kumuenzi Lowasa kwa ubora wake. Unajisikiaje baada ya hapa?

CCM wote, semeni, Lowasa ni fisadi ama si fisadi?

Slaa aliondoka kwa kulia wivu wa kuwa rais! akichagizwa na Delila wake! Sasa yuko upande wa tumbo lake tu
 
2020 ndiyo tutajua madhara ya kutotofautisha thamani na mazagazaga.
 
Tabby Dr Slaa hakuondoka Chadema sababu ya ukaribisho wa Lowasa, Dr Slaa aliondoka Chadema sababu hakupitishwa kugombea urais ila Lowasa alipitishwa. Laiti Lowasa angekaribishwa tu na yeye Dr Slaa kupitishwa kugombea urais angekuwa bado Chadema.

Kilichomtoa daktari Chadema ni tamaa ya urais
Uko sahihi na Lowassa alikuja Chadema kwa sababu hakupitishwa kugombea urais na CCM.
 
Hawa wazee waliotumikia nchi yetu kwa wakati wao tuwape kama kina warioba Lowasa, Sumaye Kingunge,Wasira na wengine wengi wa aina yao tuwape heshima bila kujali wako ccm au upinzani maana wametoa mchango mkubwa kwa nchi yetu tuache kuwadhihaki kwa maneno au kwa vitendo wanastahili kupewa heshima.
 
Sote tunalifahamu hili. Lakini kwa kukumbushana tu, Dr. Aliondoka CHADEMA kwa sababu ya Ukaribisho wa Lowasa ambao ulikuwa ni kinyume na utashi wake. Hoja kuu ilikuwa kwamba Lowasa ni fisadi na hakupashwa kutendewa na upinzani namna alivyotendewa.

Dr Slaa hakuishia kuondoka tu, bali pia alikwenda hatua moja mbele ya kusaliti upinzani na kupigia kampeni Chama Cha Mapinduzi akiamini kwamba kwa kuondoka kwa LOwasa, basi ufisadi umekwisha ccm. Bila shaka aliamini kwamba yeye na CCM sasa watakuwa wakiongea lugha moja, wakitembea njia moja, na kushare vision.

Lakini hivi punde, Mwenyekiti wa CCM ametamka suala linaloonyesha kwamba Lowasa hana hatia yoyote na anastahili kuenziwa kwa mambo makuu aliyolifanyia taifa hili.

Ninaomba kusikia kutoka kwa Dr. Slaa. Nini msimamo wako Dr kwa sasa, juu ya ubia wako na ccm, ccm inayotangaza kumuenzi Lowasa kwa kuwa ni mtu safi, mtu safi kwa rafiki zako CCM ambao umeingia nao ubia wa imani ambao wanamsifu mtu unayeamini ni mbaya kiasi cha kubadilisha kwa sehemu kubwa ndoto za maisha yako?

Uliamini wa haraka haraka kwamba CCM without Lowasa ni takatifu. CCM hiyo hiyo inatangaza kumuenzi Lowasa kwa ubora wake. Unajisikiaje baada ya hapa?

CCM wote, semeni, Lowasa ni fisadi ama si fisadi?

Wameingia mitini wote
 
Sasa kihelehele Cha nini?
Hujui pa kuweka "L" na pa kuweka "R" kwenye sentensi. Hujui kuandika kwa ufasaha. Inaonyesha hujui hata kuzungumza kiswahili vizuri. Mlugaluga Bongolala, Kaa pembeni usijaribu kushindana na mimi.
 
Sote tunalifahamu hili. Lakini kwa kukumbushana tu, Dr. Aliondoka CHADEMA kwa sababu ya Ukaribisho wa Lowasa ambao ulikuwa ni kinyume na utashi wake. Hoja kuu ilikuwa kwamba Lowasa ni fisadi na hakupashwa kutendewa na upinzani namna alivyotendewa.

Dr Slaa hakuishia kuondoka tu, bali pia alikwenda hatua moja mbele ya kusaliti upinzani na kupigia kampeni Chama Cha Mapinduzi akiamini kwamba kwa kuondoka kwa LOwasa, basi ufisadi umekwisha ccm. Bila shaka aliamini kwamba yeye na CCM sasa watakuwa wakiongea lugha moja, wakitembea njia moja, na kushare vision.

Lakini hivi punde, Mwenyekiti wa CCM ametamka suala linaloonyesha kwamba Lowasa hana hatia yoyote na anastahili kuenziwa kwa mambo makuu aliyolifanyia taifa hili.

Ninaomba kusikia kutoka kwa Dr. Slaa. Nini msimamo wako Dr kwa sasa, juu ya ubia wako na ccm, ccm inayotangaza kumuenzi Lowasa kwa kuwa ni mtu safi, mtu safi kwa rafiki zako CCM ambao umeingia nao ubia wa imani ambao wanamsifu mtu unayeamini ni mbaya kiasi cha kubadilisha kwa sehemu kubwa ndoto za maisha yako?

Uliamini wa haraka haraka kwamba CCM without Lowasa ni takatifu. CCM hiyo hiyo inatangaza kumuenzi Lowasa kwa ubora wake. Unajisikiaje baada ya hapa?

CCM wote, semeni, Lowasa ni fisadi ama si fisadi?

Siyo Silaha tu hata profesa Pumba naye aulizwe yuko upande gani maana naye alijidai kumkimbia Edo sasa mkubwa kamkaribisha white house na akasema jamaa ni safi sana. Sasa hao akina Silaha na Pumba madai ya ufisadi wanayatoa wapi wakati mkubwa kamsifia. Ikulu ni pahali pa takatifu kubwa asingeweza hata siku moja kumwalika fisadi kuingia sehemu takatifu. Ajenda ya ufisadi sasa dhidi ya Edo imefungwa rasmi hakuna wa kumnyooshea kidole tena si ccm wala si chadema. Hata ile mahakama ya mafisadi waliyoiunda ikiwa imemlenga edo haina tija tena kwani haina watuhumiwa wala washitakiwa.
 
Huyu naye kigeu geu mara upinzani mara ccm aeleweki,
 
Sote tunalifahamu hili. Lakini kwa kukumbushana tu, Dr. Aliondoka CHADEMA kwa sababu ya Ukaribisho wa Lowasa ambao ulikuwa ni kinyume na utashi wake. Hoja kuu ilikuwa kwamba Lowasa ni fisadi na hakupashwa kutendewa na upinzani namna alivyotendewa.

Dr Slaa hakuishia kuondoka tu, bali pia alikwenda hatua moja mbele ya kusaliti upinzani na kupigia kampeni Chama Cha Mapinduzi akiamini kwamba kwa kuondoka kwa LOwasa, basi ufisadi umekwisha ccm. Bila shaka aliamini kwamba yeye na CCM sasa watakuwa wakiongea lugha moja, wakitembea njia moja, na kushare vision.

Lakini hivi punde, Mwenyekiti wa CCM ametamka suala linaloonyesha kwamba Lowasa hana hatia yoyote na anastahili kuenziwa kwa mambo makuu aliyolifanyia taifa hili.

Ninaomba kusikia kutoka kwa Dr. Slaa. Nini msimamo wako Dr kwa sasa, juu ya ubia wako na ccm, ccm inayotangaza kumuenzi Lowasa kwa kuwa ni mtu safi, mtu safi kwa rafiki zako CCM ambao umeingia nao ubia wa imani ambao wanamsifu mtu unayeamini ni mbaya kiasi cha kubadilisha kwa sehemu kubwa ndoto za maisha yako?

Uliamini wa haraka haraka kwamba CCM without Lowasa ni takatifu. CCM hiyo hiyo inatangaza kumuenzi Lowasa kwa ubora wake. Unajisikiaje baada ya hapa?

CCM wote, semeni, Lowasa ni fisadi ama si fisadi?

Ww ni wa ajabu....kwani ulitegemea Dr. angekuwa mgombea urais hata kama angebaki CDM?
 
Back
Top Bottom