Dr. Slaa, umeketi upande gani sasa?

Dr. Slaa, umeketi upande gani sasa?

Mwacheni mzee afanye yake,amewaachia chama chenu kikiwa na nguvu kubwa
Mnaporomoka kwa kasi mnatafuta mchawi.
Umeahasema slaa msaliti,halafu unataka kujua msimamo wake,akili yako haina tofauti na mbeba karai

Ninaomba usinilazimishe kuwa na mawazo kama ya wanasiasa mchana, usiku vampires!.
 
Huyo unaemsema huku kwa sasa ni Diplomat popote duniani anakwenda pasi na kukaguliwa na cheo hicho hakibanduki mpaka anaondoka duniani, airport yeyote duniani anakatiza tena VIP lounge sasa wewe endelea kujifurahisha humu ukijua ipo siku utakuja kufanana nae au kufanana japo na babaako
 
Sijui imani yako lkn biblia iko wazi kabisa. Kulikuwa na mtu mmoja akiitwa Sauli huyu kazi yake ilikuwa ni kuteka na kuwapeleka watumishi wa Bwana Yesu kwa watawala ili wakateswe kwa kosa la kumhubiri Bwana Yesu. Lkn iko siku Bwana Yesu akasema "enough is enough". Huyu mtu huyu nguvu anazotumia kuwatesa watu wangu anatakiwa azitumie kuhubiri injili. Ndipo akamkabiri Sauli mpk akaokoka. Na hakuna mtu aliyeandika vitabu vingi kwa njia ya nyaraka kama Paulo (former Saul). Mfano huu nimeutoa kwa sababu hao watu wa hicho kikundi ulichokieleza wanayo cancer ndani ya ideology yao inayoitwa "Al Fisaad" .Piga ua ndani ya damu yao kuna ufisadi. Hata km ikitokea leo malaika akijitokeza na kuwa join watamforce tu a wa join ktk imani yao. The only safe person ni yule anayeweza kuwaacha basi

Umesema sahihi. Kinachotakiwa ni watu watambue kwamba hilo genge no matter wanafanya nini kuwaaminisha watu wanapambana na ufisadi, lengo ni kuwahadaa watu lakini asili yao inabaki pale pale. Wakisikai upande wa pili wanasema hiki, tayari wanadandia na kuanza kuimba nyimbo za rangi hiyo ili kupumbaza watu. Nyoka ni nyoka tu. Dr. Slaa alisaliti wenzake, sasa sijui leo bado ataongea lugha moja na hao jamaa?

Na yeye ataendelea kuunga mkono mauji ya raia wasio na hatia? Ataunga mkono uvunjwaji wa sheria, katiba na ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu na maendeleo hewa ya uchumi!. Ninatamani kumsikia Dr.
 
Sote tunalifahamu hili. Lakini kwa kukumbushana tu, Dr. Aliondoka CHADEMA kwa sababu ya Ukaribisho wa Lowasa ambao ulikuwa ni kinyume na utashi wake. Hoja kuu ilikuwa kwamba Lowasa ni fisadi na hakupashwa kutendewa na upinzani namna alivyotendewa.

Dr Slaa hakuishia kuondoka tu, bali pia alikwenda hatua moja mbele ya kusaliti upinzani na kupigia kampeni Chama Cha Mapinduzi akiamini kwamba kwa kuondoka kwa LOwasa, basi ufisadi umekwisha ccm. Bila shaka aliamini kwamba yeye na CCM sasa watakuwa wakiongea lugha moja, wakitembea njia moja, na kushare vision.

Lakini hivi punde, Mwenyekiti wa CCM ametamka suala linaloonyesha kwamba Lowasa hana hatia yoyote na anastahili kuenziwa kwa mambo makuu aliyolifanyia taifa hili.

Ninaomba kusikia kutoka kwa Dr. Slaa. Nini msimamo wako Dr kwa sasa, juu ya ubia wako na ccm, ccm inayotangaza kumuenzi Lowasa kwa kuwa ni mtu safi, mtu safi kwa rafiki zako CCM ambao umeingia nao ubia wa imani ambao wanamsifu mtu unayeamini ni mbaya kiasi cha kubadilisha kwa sehemu kubwa ndoto za maisha yako?

Uliamini wa haraka haraka kwamba CCM without Lowasa ni takatifu. CCM hiyo hiyo inatangaza kumuenzi Lowasa kwa ubora wake. Unajisikiaje baada ya hapa?

CCM wote, semeni, Lowasa ni fisadi ama si fisadi?

You should mind your own business
 
Umesema sahihi. Kinachotakiwa ni watu watambue kwamba hilo genge no matter wanafanya nini kuwaaminisha watu wanapambana na ufisadi, lengo ni kuwahadaa watu lakini asili yao inabaki pale pale. Wakisikai upande wa pili wanasema hiki, tayari wanadandia na kuanza kuimba nyimbo za rangi hiyo ili kupumbaza watu. Nyoka ni nyoka tu. Dr. Slaa alisaliti wenzake, sasa sijui leo bado ataongea lugha moja na hao jamaa?

Na yeye ataendelea kuunga mkono mauji ya raia wasio na hatia? Ataunga mkono uvunjwaji wa sheria, katiba na ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu na maendeleo hewa ya uchumi!. Ninatamani kumsikia Dr.
Hutamsikia saa hizi mpk ashibe. Bado anatafuna mnofu
 
Huyo unaemsema huku kwa sasa ni Diplomat popote duniani anakwenda pasi na kukaguliwa na cheo hicho hakibanduki mpaka anaondoka duniani, airport yeyote duniani anakatiza tena VIP lounge sasa wewe endelea kujifurahisha humu ukijua ipo siku utakuja kufanana nae au kufanana japo na babaako
Mbona matusi tena mpendwa? Baba wa mtu anahusishwaje humu? Labda nikwambie hata aitwe mungu as long as ni wa duniani hakuna jipya chini ya jua. Cha kujalisha ni kuutafuta ubalozi wa the real God ili upate kuandikwa kwenye kitabu cha uzima. Mamlaka yoote ya duniani mtayaacha hapahapa duniani. Tunayo raha sana sisi tuliokubaliwa kupata hiyo neema. Jitahidi u mtafute Bwana Yesu kwa nguvu zako zote ili atuokoe basi
 
Mawazo ya mtu aliekata tamaa ni kuacha kupambana na kumsukumia mzigo huyo anaemwita yesu
 
Dr Slaa hakuipigia kampeni CCM 2015. Alisema ukweli mweupe kabisa alipoulizwa kati ya hawa wagombea yupi ni bora. Alisema hakuna bora ila nafuu JPM kuliko EL...na huo ndio ukweli mchungu kweli. Maongezi yake mengi ilikuwa kufafanua kilichotokea na sababu za kuachana na siasa. Alafu acheni uongo wa Dr Slaa kuisaliti Chadema bali Chadema ndio ilimsaliti Dr Slaa! Juzi tu EL kawabipu mkalipuka kuonesha hata nyie hamuaminiani na mkatoa lugha za ovyo ovyo. Tutawaambia ukweli hata kama hamtaelewa hadi siku mtapokutana na ukweli na kuukubali. Dr Slaa alikuwa sahihi ndio maana tusiopelekeshwa na uvyama tulisimama nae wazi bila kupepesa!
 
Dr. Slaa anawatesa na bado ataendelea kuwatesa sasa hivi chama chenu hakina hoja inayosimamia , hakieleweki ndio maana mnunuzi wa chama alipoenda ikulu kuonana na raies mkaanza kutoa kauli zisizoeleweka, wanachama, wabunge na madiwani wanawakimbia badala ya kutafuta chanzo mnalalamika kuwa wananunuliwa aliondoka akiwaachia laana kama mliuza chama kwanini mnalalamika watu wenu wakinunuliwa
 
Moja ya matumizi mabaya ya kodi zetu ni malipo ya bure anayopata Dr. Slaa kwa ajili ya kuwa balozi wakati hakuna anachofanya
 
Back
Top Bottom