Elections 2010 Dr. Slaa: Tutatoa tamko letu wakati wowote kuanzia sasa

:angry::angry::angry:
 

Kuridhika kwako na mwenendo wa uchaguzi na matokeo yanavyotoka kunakutambulisha mlengo wako wa maono kisiasa na ili dunia iwe dunia, hata wa namna yako mtaendelea kuwapo
 
Dr ni mtu mwenye Busara sana natumaini tamko lake litakua liko poa ila wananchi tulipokee .
 
Tuko Pamoja Shujaa wa Demokrasia Tanzania. Tunasubiri kusikia kwa hamu.
 
Tunasubiri kwa hamu sana tamko lako mkuu wangu
Mungu yuko pamoja nawe bado tunakuombea
 

Hebu amka ww! Dr. Slaa alisema endapo match itachezwa kwa kufuata sheria zote za mchezo, 'll be o.k! otherwise.........!
Lengo sio kupata wabunge wengi tu, basi ni kuwa rais wa taifa lililosahauriwa na kugezwa pori la bibi!
:A S cry::A S cry::A S cry:
 

Jamani Domo Kaya nakuomba ubadilishe avatar yako inatisha sana,just a favour pls
 
Slaa rais wetu tunakuamini, tupo tayari na tunasubiri kwa hamu hilo tamko lako. Keep on Slaa!!!:israel:
 
Kama ulivyotuambia huogopi kufa kwa ajili ya kutetea haki na sisi hatuogopi vifaru vyao say something pls damu ingali bado moto.
 
Kama ulivyotuambia huogopi kufa kwa ajili ya kutetea haki na sisi hatuogopi vifaru vyao say something pls damu ingali bado moto.

Poleni ndg zangu. Aminini ya kuwa kila kitu kina mwanzo na mwisho. Amani hujengwa kwa haki na hubomolewa kwa dhuluma. Maendeleo ya kweli na ya haraka, huletwa na watu wenye amani ya kweli. Kama kuna amani bandia, maana yake kuna dhuluma bado na maendeleo ya haraka hayapo, hata kama watu watahemea vipi!

Mungu ibariki Tanzania, Afrika na Dunia yote. Tusamehe tulipokukosea, tuonyeshe njia Baba. Mwongoze Jaji Lewis Makame kujua mahitaji ya wana wa Tanzania, mwongoze Dr. Slaa kutamka tamko la hekima kwa maslahi ya Taifa huru....Amen.
 
Wewe fikra zako zikoje,unaona hivyo tulivyopata havikustaili? Vinatosha, ulitaka chadema ichukue vingapi? UJAJITAMBUA
 
Mungu wetu,

Ninakuomba umwongoze Dr. W. P. Slaa atamke tamko ambalo linaidhini yako tu. Moyo wangu wanitetemeka ikiwa atatamka kuwa NAYAKATAA matokeo. Hata hivyo, ninamwamini si mbinafsi, si mnafiki, si mropokaji, hana maakuu, nk. Naamini kama matokeo ni ya haki ATAYAKUBALI.

Mungu linda Taifa letu, Mungu usikae mbali nasi. Tunahitaji AMANI ya kweli....Amani.
 
Nimekusikia kama matokeo yakuwa ya kweli nitayakubali kama yatakuwa ya uongo nitayakataa.
 
Dr umefulia jipange next time kaka. URAISI SIO wakukurupukia. Nanyie ndo mna Roho mbaya umeona KIKWETE kakuza DEMOKRASIA hata waganga wakineyeji na MATOZI wanaenda BUNGENI mwaka huu dodoma vituko kutakua kama Mabibo hostel
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…