Elections 2010 Dr Slaa, tafadhali toeni tamko kuhusu ufisadi wa kupindukia unaofanywa na NEC

Kwa Wilaya zilizoko remote area at least you can understand kwa sababu ya umbali wa vituo ila kwa zilizopo town mfano za Dar mpaka sasa mambo kimya hivi inakuaje

Eti wao wanadai vituo vimekuwa vingi sana kuliko miaka ya nyuma its nonses maana hata 2005 delaying tacts ilikuwa hivi hivi

Kuna haja ya our President CHADEMA kusema chochote walau kukemea hili maana nijuavyo mimi hii NEC bado ipo mikononi mwa CCM maana JK ndo aliyoichagua
 
Tena muda si mrefu mwenyekiti wa tume katoka kusema eti inaweza kufika hadi ijumaa.
chanzo by bbc

Tume ya uchaguzi ninyi mmewekwa hapo mlipo na Mungu wa Watanzania, tunaomba akili zenu, mioyo yenu na fahamu zenu zifunikwe na nguvu ya Mungu ili mfanye kazi kwa haki na ukweli. Tunawatangazia hivi hila yoyote na njama zozote za kuharibu haki ya Mtanzania ISHINDWE NA ISIWE NA NGUVU WALA ISI EXIST KWA NAMNA yoyote Ktk................................
 
sio kama nauburi udini no.! ila sehemu nyingi alizo kimbiza jk zina idadi kubwa ya vibarakashee na madira,na ndo maana ukicheki utakuta wana gawana vibarakashee na CUF,next TIME siangalii sera ni IMANI MKAZI. FAAAKI PISI:A S angry:
 
Cna hamu na huu uchaguz hv jk atajigamba atakapokua akisomewa idad ya wabunge walioingia kwa hila?damu inanukia
 
Kila Mgombea wa upinzani katika kila jimbo, asimamie ukusanyaji wa matokeo ya urais na ayawakilishe makao makuu ya Chadema ama CUF kwa majumuisho, huu si muda wa kuzubaa, by the tyme hawa wabunge wa CHADEMA ama CUF wanamaliza kushangilia ushindi wao wa ubunge na udiwani, CCM watakuwa wamemaliza kuchakachua kura za urais!
Kama tulivyofanya ubungo kwa ubunge, vivyo hivyo tufanye na urais nchi nzima jamani, tutakuja chekwa tukiwaachia hawa mafisadi!
 
CHADEMA tambueni hili
Wakati wa kura kuhesabiwa na mawakala vituoni idadi inaandikwa na kwenye fomu wanasaini. Ila mchezo hutokea inbetween kituo to wilayani. hapo kati kama gari halisindikizwi na wakala basi masanduku mapya yanapakizwa kwenye gari ili wakifika mwisho wa safari msimamizi analazimisha recount.
Lazima mtoe tamko ili dunia ielewe kinachoendelea.
TUMEZILINDA KURA, SASA NI KAZI YENU KUYALINDA MATOKEO
Sehemu iliyobakia ni ya CHADEMA kulinda haki ya wananchi wa Tanzania, kama hili halitatendeka vema itaendelea kukatisha sana wananchi. Natumai hatutafika huko
 
Back
Top Bottom