Shibalanga
Senior Member
- Mar 1, 2011
- 178
- 93
Nadhani ili ni jukwaa la siasa,mleta mada uko sahihi kabisa! Cdm kwa kweli ikifanikia kutwaa wasomi wa kutosha,nchi itakombolewa! Huwezi amini cdm kwa kumbukumbu zangu ilikuwa na wanachama kama laki3 lakini ilipata kura zaidi ya mil2 baada ya Nec Structural vote adjustment! Hapa inaoneka kuwa 85%ya wapenda cdm si wanachama hai. Upande wa ccm wanachama walikuwa mil.3,520,000 lakini ilipata kura mil.4 baada ya Nec upward bonus! Je, kama hawa wangekuwa wana wa chama wa cdm hali ingekuwa vipi? Tafakari,chukua hatua!
Ndugu zangu,mko sahii isipokuwa kusema matawi,mashina yamepitwa na wakati mi nadhani utakuwa mtazama mbaya, kwa wakati huu taratibu zote za kuingiza wanachama na wakawa hai lazima zitumike cha msingi kuangalia ni njia ipi inafaa mahali fulani, ikiwa vyuoni, vijiweni, vijijini au hata ofisini, Asante!