katibu mkuu wa chama cha Demokrasia na Maendeleo Dr W. Slaa amesema hawezi kujibishana na Mbunge wa Maswa mashariki Mangale Shimbuda na akaongeza kuwa shibuda anauhuru wa kusema atakacho...
source magazetini
Ujibishine na asie taka kubadilika kutafuta nini?
katibu mkuu wa chama cha
Demokrasia na Maendeleo Dr W. Slaa amesema hawezi kujibishana na Mbunge
wa Maswa mashariki Mangale Shimbuda na akaongeza kuwa shibuda anauhuru
wa kusema atakacho...
source magazetini
Mbona wale akina Shonza waliosema wayatakayo wamewajibishwa,Shibuda ni zaidi ya CHADEMA???!!!ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha !
unajua mbunge kuna wakati maneno yake akiongea analindwa na bunge hivyo lazima uwe makini sana na dr dr ni moja ya watu walio makini..kumchinja kobe inahitaji timing..
angalia dunia itakucheka yaani dr slaa hana hoja za kumjibu shibuda, si kwamba kujibisha na chizi mwisho wa siku mtaonekana wote machizi..
Aaaaaaah anamuogopa huyoKatibu mkuu wa chama cha demokrasia na maendeleo Dr w.Silaa amesema kuwa hawezi kujibishana na mbunge wa maswa magharibi Mkoa wa Simiyu ndugu John Shibuda.kwani mbunge huyo anauhuru wakuongea kitu chochote anacho kitaka.Ni katika vichwa vya habari vya gazeti la majira la leo.
Katibu mkuu wa chama cha demokrasia na maendeleo Dr w.Silaa amesema kuwa hawezi kujibishana na mbunge wa maswa magharibi Mkoa wa Simiyu ndugu John Shibuda.kwani mbunge huyo anauhuru wakuongea kitu chochote anacho kitaka.Ni katika vichwa vya habari vya gazeti la majira la leo.