Dr. Slaa: Sitakula sahani moja na mafisadi


Mwezi mchanga naona umeanza, umepanik mpaka unatoa mapovu, mind you, sipendi mtu anaetoa mapovu mdomoni. Shit! Sasa lumumba mwaka huu mtapasuana vichwa kwa viti, lowassa ameshaweka wazi hatoki, anaetaka yeye atoke inabidi atoke huyo. Hahaha patamu hapo. Mwaka wa kugawana fito huu
 
Fisadi ni mtu yeyote anayetamani na kupora mali za watu wengine ziwe kodi za serikali au wake za watu.Slaa ni fisadi alipora mke wa mtu! hana cha kuwaambia mafisadi! Wale wanapora hela yeye anapora wake za watu FISADI MKUBWA.

Mshughulikie mkeo kwa bidii ukimchekea watamshughulikia wenzio.
 
Mwaka wa uchaguzi huu tutaona na kusikia mengi sana.
 
Hivi mzee slaa naye ni mtu wa kumsema mtu wakati yeye mwenyewe kafanya ufisadi mpaka kanisani ndiyo maana kanisa likamfukuza mara moja.
 
Si kweli kuwa kanisa lilimfukuza, aliondoka yeye mwenyewe kisha akaoa. Matatizo ya ndoa hiyo ni habari tofauti, kwani kudumu kwake kunawahusu wawili na wao ndio wanajua iliwashindaje. Kuoa tena si kosa ila kama aliyemwoa ni mke wa mtu basi mwenye mke ana haki ya kudai haki yake. Je, kachukua hatua gani?
 

Sasa wewe ndiyo mfano mzuri wa tofauti kati ya mwana ccm na mwana ukawa, compliments where due, you were brilliant.
 

Mziki umeanza sasa.Naona cdm wanataka kujimaliza wenyewe
 
Acha wahamie mafisadi wakaongezeke kwenye chama chao cha ukoo.
 
lowasa hawezi toka ccm
Kwanini hawezi kutoka wakati keshakatwa ila kiasi fulani naungana na wewe kwa kiasi flani kwani akitoka atapata shida sana kwa jinsi alivyokuwa mwizi lazima wamsurubu.
 
Habarini wanaccm
Nianze kwa kutanguliza samahani kwa nitakaowakwaza kwani ni bora nizungumze kuliko kukaa kimya nitakuwa mjinga wa ajabu na nitakuwa sijaitendea haki democracy,
Nasikitika kuona wanaccm hawapendi kuambiwa ukweli kisa wanalinda maslahi yao na hii in miongoni mwa mambo yanayofanya chama hiki kiende mrama maana ukisema ukweli baadhi yetu kulingana na Uwezo wa kufikiri basi huona wewe ni mpinzani kwa chama#
Ndg zangu Nchi yangu ni bora kuliko chama hvyo Mara nyingi naweka mbele maslahi ya Taifa kuliko chama,Leo hii tunapoona watu wanakihama chama chetu sio wajinga na sio suala la kuwabeza bali twatakiwa tujiulize kwann watu wanakihama,
Kumetokea mambo mengi sana ndani ya chama ambayo kimsingi yanasababisha wananchi wakichukie chama cha mapinduzi#
Maneno ya wananchi wanasema tatizo sio magufuli bali tatizo ni mfumo wa kulindana,kubebana na kushughulikiana ndani ya ccm ni miongoni mwa sababu zinazowakera wapiga kura.
Tujipange ila kiukweli mtaani hali ni mbaya.
Leo hii atatambulishwa rasmi James lembeli kwa wanakahama lakini pia kunatukio la madiwani wa Simiyu Na madiwani Na wachama wa ccm monduli kukihama chama cha mapinduzi,Huu sio mtikisiko mdogo in mkubwa sana hebu fikiria Hawa watu wanawatu wangapi nyuma na watakieneza nini kwa watu wao lakini pia baada ya kukaa tukatafakari kwa makini tukiohili sisi tumekalia kujipa ushindi wa whatsap na pale mtu anapoamua kufunguka kwa kusema kweli basi atachukuliwa kama unakipinga chama ila tuamini kuwa wananchi wa leo sio wale wa Mwl Nyerere ,Tanzania ya leo sio ile ya Mwl hii ya leo iko tofauti kabisa,Watanzania wanahitaji mabadiliko hivyo wasipoyapata ndani watayatafuta nje,
Watanzania wamechoshwa na umaskini uliokithiri,Wamechoshwa kuona keki ya Taifa wanafaidika nayo wachache,Wamechoshwa na kuhudumiwa chini ya miti,Wamechoshwa kuona rushwa imekithiri,Wamechoshwa na mishahara duni,mikopo hakuna vyuo vikuu,Elimu isiyoendana na hitaji la MTU, Tunahitaji Tanzania mpya yenye fursa sawa kwa wananchi wake .
Niwasihi vijana wezangu tusiwe daraja la wanasiasa tufanye maamuzi sahihi kwa kiongozi sahihi bila woga,Kura moja inathamani kubwa saana kwako mtanzania .
Tukiona nyeusi tuseme nyeusi na tukiona nyeupe tuseme nyeupe bila woga kwa miaka mitano au kumi ni mingi kwa kweli hivyo binafsi sitokuwa tayari kusema nyeusi kwenye nyeupe.
Tuweke maslahi ya taifa mbele.
Ahsanteni.
 

TUHUMA? Utungaji sio fani yako
 
ss tuko simiyu tayari madiwani wa UDP wamechukua fomu chadema na wamerudisha kadi za mwanzo za chama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…