Dr. Slaa silaha ya maangamizi kwa Lowassa

Mbona mlisema slaa naye fisadi. Mnataka aanze tena kusumbuka polisi kwa kesi za kuiba mke wa mtu?
 

Wewe unaonaje ukienda ACT na kuanza kuinadi hiyo vita ya ufisadi dhidi ya Lowassa?
 
Tanzania nchi ya ajabu sana,yaani mtu mzima na akili yake,tena si ajabu kiongozi wa serikali na mwana chama wa ccm anaamini Tanzania vita ya wizi na ufisadi inapiganwa kwa maneno.kiukweli unaweza wakati mwingine kujuta kuzaliwa Tanzania
 

km ulifuatilia uzinduz wa ukawa utakubaliana na mm kuwa hakutoa ahad ya kupambana na ufisad, amezidiwa na magufuli... unategemea nn km anapata kigugumiz kupambana na ufisad
 
Tangu tumeanza kupingana hii vita tumepata matokeo gani.the only way and true way to fight ufisadi,rushwa and any uchafu in our country is to kick out ccm.basi
 
km ulifuatilia uzinduz wa ukawa utakubaliana na mm kuwa hakutoa ahad ya kupambana na ufisad, amezidiwa na magufuli... unategemea nn km anapata kigugumiz kupambana na ufisad
Muorobani wa ufisadi ndani ya nchi hii ni rasimu ya pili ya Warioba ambayo CCM kwa ujumla wao waliikataa na si bla bla za Magufuli kwenye majukwa. Tufike hatua tujifunze kutengemea systems na si watu
 
Chama cha CCM kilisema Dr ni mzinzi na maneno machafu kibao, leo munakula matapishi
 
Hapa tutazungumza mengi lakini cha msingi tunataka mabadilko. Sasa haya mabadliko yanakujaje sisi hatujui iwe LOWASSA, SLAA, ACT, UDP mradi CCM tunaiweka pembeni basi!

 
Jana tu, Lowassa na Sumaye wameonja joto ya jiwe. Makombora ya Kitila Mkumbo, Habib Mchange na Kiongozi wa Chama, yalikuwa balaa. Sipati picha Slaa akifunguka.
 
Chama cha CCM kilisema Dr ni mzinzi na maneno machafu kibao, leo munakula matapishi

ukawa kwan mlimwambiaje lowassa na wafuasi wake?
msigwa "wanaomfuata lowassa inabidi wakapimwe akili" leo kiko wap?kwan mtu kama huyo asiitwe mpumbavu na lofa?
 
Mboe alipiga dogo siku ya ufunguzi wa kampeni kwa kusema, "wale ambao wako chadema na hawaungi mkono mabadiliko, watawekwa pembeni". "Wale ambao wako vyama vingine na wanapenda mabadiliko, wanakaribishwa."
 
Jana tu, Lowassa na Sumaye wameonja joto ya jiwe. Makombora ya Kitila Mkumbo, Habib Mchange na Kiongozi wa Chama, yalikuwa badaa. Sipati picha Slaa akifunguka.

Hao akina Kitila wanafanya kazi ya kutwanga maji kwenye kinu!!
 
Pumzika Dr.
 

Attachments

  • 1441007608488.jpg
    27 KB · Views: 172
Dr.Slaa hawezi kuchangamana na mafisadi, hizo siasa wanaweza akina Mbowe na wenzie.

Wanasiasa wasioweza kuishi kwenye misimamo na misingi yao.

Wanasiasa wasio na falsafa, wanasiasa vigeugeu, wanasiasa walaghai,wanasiasa wanaosema kanyaga twende kwenye mstakabali wa taifa.

Wanasiasa wanaobadili gia Angani kwa hatma ya Taifa. Wanasiasa wasiojua watanzania wanataka nini zaidi ya kuimba mabadiliko bila kuonyesha Taifa nini kitafuata baada ya mabadiliko.
 
Kuna maswali mengi ya kujiuliza kuhusu mpambanaji Dr.Slaa

1. Kwa nini amekaa kimya hivi.
2. Je Dr. Slaa ameamua kuwasaliti Watanzania wapenda mabadiliko? kama hukupendezwa na namna Lowasa alivyopokelewa CHADEMA jibu lake ni kukaa kimya?
 
Leo ccm wanampenda dr.slaa wakati wamemtukana sanaaa.......na hao wanaojiita ACT....walikuwa wanamtukana sana leo mwamtaka mwacheni mzee wa watu.....
 
ukawa kwan mlimwambiaje lowassa na wafuasi wake?
msigwa "wanaomfuata lowassa inabidi wakapimwe akili" leo kiko wap?kwan mtu kama huyo asiitwe mpumbavu na lofa?
Watanzania wanahitaji mabadiliko na sio blah! blah! kama wanasheresha sherehe maneno mengi CCM wanayaongea ahadi nyingi wanzitoa lakini ifike mahali watanzania waamke wasiwewapumbavu miaka54 ni mingi ukilinganisha na hali tuliyonayo
Miaka 5 sio mingi kuwapa upinzani kuona wanafnya nini ? Ifike Muda CCM wajua wanaongoza watu na sio mbuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…