CCM bwana,mnajitahidi sana,lakini too late.
Propaganda hazina nafasi kwa watanzania,watanzania wanataka Tanzania aliyoiota mwl nyerere,ambayo ilitoa Elimu bure,huduma bure za Afya na huduma bora za kijamii bila kuchimba madini ,kusafirisha magogo na kutuibia wanyama wetu.
Chadema siyo Dr Slaa chadema ni Taasisi,kama taasisi inawashahuri katika nyanja zote,wewe ni nana?
Ndiyo maana wabunge wa CCM wanashindwa kujadili hoja za maendeleo wanabaki kuhariri hotuba za akina Lissu na Myika unaweza kuona ni kwa namna gani mmepoteza focus na direction.
Leo ninazidi kujidhihirishia Pro CHADEMA ni watu wanamna gani, yaani hawataki kuambiwa ukweli na wako radhi kukivunja kioo, kikiwaonyesha kwamba wana tongotongo machoni, yaani wenyewe hawataki kukosolewa sababu wanajiona wao wamekamilika na hata malaika kwao anasubiri sababu wao hawana mapungufu kabisa wakati Katibu wao mkuu
Dr. W. Slaa anawaonyesha kwa vitendo kwamba binadamu hatujakamilika ndio maana yeye alivunja amri ya 6 zaidi ya mara moja kipindi ambacho waliowengi walikua wanajua ni Padri na bado waumini wengi walikua wanakwenda kwake KUUNGAMA, wakati anayewaungamisha nae anatenda Dhambi, tena zaidi hata ya waumini wake kwa kuvunja amri za Mungu ikiwemo Kuzini wakati yeye yupo kwenye kiapo cha Upadri, na hata baada ya kuachana na Upadri bado aliendelea kuzini pasipo kufunga ndoa, kwa ufupi
Dr. Slaa alikua anaenda sambamba na mtoto wake wakike wa kumzaa kwa kufanya ngono zembe bila kinga kabla ya kufunga ndoa......
CDM itake isitake lazima waanze kumfikiria mtu nwingine. Huyu mzee kachafuka vibaya sana. CCM wakifanikiwa ku-form alliance na kanisa huo ndio utakuwa mwisho wa CDM!
NO.Research NO Right to say!ninaunga hoja mkono.mtoa mada wewe ni mtanzania kamili si shabiki wa watanzania kama walivyo wengi humu.eti wanaipenda cdm hawataki kisikia baya la cdm,hamsaidii cdm kwa kuwapongeza bila kuwashauri.siku mkisikia mbowe hajawai ku2pa kadi ya ccm aliyokatiwa na baba yake tangu akiwa chipukizi pale nshara,mtabaki mdomo wazi.cdm ni chama cha watanzania wote ruhusuni mawazo tafauti yenye kujenga na acheni kuabudu watu.hamjui yalio ndani yao
NO.Research NO Right to say!
Orthonological specimen of identical plumage invariably conglomerate in the same vicinity. .....!
Mnaanzisha thread halafu mnaingia personal vendatta na kui-lable ushauri,hoja na maneno mengine
Kwanza nashindwa kuelewa huu ustaarabu unaoongelea hapa at the same time unatukana,unafanya siasa kwenye mambo binafsi ya watu.
Ati wenye mapenzi mema na Slaa wananzisha thread ya kumshauri?kwa nini msiwasiliane naye moja kwa moja?
Hao malaika wanaoiogoza CDM tuambie ni wepi ili tuwafahamu.
Achana na upenzi wa mtu anyeweza kusahihishika na jamii na bado akawa kiongozi mzuri kuliko hulka ya kuabudu mtu-Mao Tse Tung style.
Nyie ndio mnaishia kuabudu "fikra za mwenyekiti", hata kama mwenyekiti mwenyewe ana tabia mbovu, na fikra zenyewe ni mbovu.
panadol
Jamii Forums is a discussion forum, and it is inevitable that disagreements with crop up from time to time. Please be nice and respectful to other members at all times and do not resort to personal attacks, false accusations, name-calling, and other unproductive forms of communication.
Hizi primitive contributions tusipoachana nazo tunaharibu hii Forum
nimeamini jina langu la wakuziba lina uzito wake. kwanza nikishaziba, kuzibua hoja zangu ni shughuli nzito sana. pili lakabu yangu ya "mzee wa maneno yanayochoma nyoyo" ni mujarab na maridhawa kabisa! wengi wanaosoma makala zangu, huumizwa sana na ukweli wa maneno yangu. huwa uwezo wao hauwaruhusu kuzijibu kwa hoja. huishia ama kutukana au kukosa la kuandika! ASANTE MUNGU KWA KUNIPA UWEZO WA KIUCHAMBUZI NA KIMAONO!
Wakatabahu: wakuziba (mzee wa maneno yanayochoma nyoyo)
1st lady mambo hayo ya bure siku hizi hakuna kutokana na upepo wa siasa ya dunia ilivyosasa. ant- communisim nd' anatawala ulimwengu hivyo hayo maneno kwenye rangi ya blue hapo ni ngumu sana kuyatekeleza na utaleta balaa katika utawala wa mmeo. mfano mzuri angalia nchi ambazo zina mambo ya communism zinavyoandamwa, libya... n.k tusiwadanganye watu kwa staili hii... imbombo miyako!Josephine
Default Re: Dr. Slaa sikuelewi! Badilika! La sivyo wewe na CHADEMA....................... ....
CCM bwana,mnajitahidi sana,lakini too late.
Propaganda hazina nafasi kwa watanzania,watanzania wanataka Tanzania aliyoiota mwl nyerere,ambayo ilitoa Elimu bure,huduma bure za Afya na huduma bora za kijamii bila kuchimba madini ,kusafirisha magogo na kutuibia wanyama wetu.
Chadema siyo Dr Slaa chadema ni Taasisi,kama taasisi inawashahuri katika nyanja zote,wewe ni nana?
Ndiyo maana wabunge wa CCM wanashindwa kujadili hoja za maendeleo wanabaki kuhariri hotuba za akina Lissu na Myika unaweza kuona ni kwa namna gani mmepoteza focus na direction.