Dr. Slaa sikuelewi, Badilika! La sivyo wewe na CHADEMA...

Status
Not open for further replies.
KAULI ZAKO TATA
wewe ni dokta. una phd (hata kama ni ya mambo ya kidini lkn ni phd). upeo wako wa kuchambua mambo lazima uwe wa hadhi ya phd. kauli hizi zinanitia wasiwasi kuhusu uwezo wako wa kiuchambuzi na kifalsafa!
"Leo asubuhi Ofisa wa Makao Makuu ya Polisi amenipigia simu kuomba appointment ya kukutanana na polisi kwa mahojiano. nasema sina muda. sisi hatuendi polisi kwa sababu walishatudanganya mara nyingi tu. kama wanataka waje watukamate lkn sisi hatuendi polisi". la kushangaza, jana majira ya saa 4 na dkk 45 asubuhi, dr slaa na lema walikwenda wenyewe makao makuu ya jeshi la polisi kwa mahojiano! walihojiwa kwa saa 2 kisha wakaruhusiwa kuondoka. alipohojiwa na waandishi wa habari nje ya makao makuu ya polisi, slaa alisema "tumehojiwa lkn hatukukubali maelezo yaandikwe. hakuna sehemu ambayo tumetia sahihi maelelezo ya mahojiano".

hapo kwenye "red" hana digrii hata moja huyo
 
Wakuzibwa si mchambuzi ila ni twister na mleta majungu .Slaa alisema hawaendi polisi kutoa taarifa .Na imekuwa hivyo.Nchimbi kakurupuka wamapigia simu akasema no .Wakampelekea barua yeye na Lema , ushauri ukatoka kwenye Chama na wana sheria kwamba nendeni kuitikia wito ila kama ni kuandika lolote jibu ni hapana .Lema na Slaa walienda polisi baada ya kuwa na barua mkononi .Wakafika wakaambiwa sababu za wito wakaombwa kuandika ili wapewe ulinzi pending uchunguzi.Slaa akasema kabla ya kutoa maelezo anataka majibu ya previous chunguzi akiwa Mbunge .Wakawa hawana la kusema wakamwambia nenda na Lema .Sasa ulitaka nini ? Kiburi cha nini ? Chadema ni waungwana na Viongozi wao ni waungwana .Wameondoa sababu za ma CCM kusema mengi na kuwatishia now what are you trying to twist here ? Shame on you .Wewe unachambuliwa wala huchambui lolote

Sijui kwa nini Pro-Chadema JF ni wafuata mkumbo sasa huyu nae sijui kajibu nini Dr Slaa kajisalimisha polisi au kakamatwa? sijui unatetea nini Dr Slaa wakati anawambia waandishi wa habari wampige mpaka wamuuwe hawezi kwenda polisi alikuwa hajui anaongea nini? Baadhi ya Pro-Chadema JF ndio mmemualibu mpaka Mnyika nae kawa mtu wa kuropoka tu, bungeni kawa mbunge wa mungozo spika, Tundu Lissu, naye anatatumia magazeti ya udaku bungeni kama reference unashindwa kuelewa unasheria wake sijui wa nini.
 
Hakuna alie kamilika bali tunaishi kwa kukosoana na kuvumiliana hata mungu huwa anakosolewa lakini bado ni mungu tu.
Kikwetu jina lako ni matusi. Narudi katika mada: Mungu huwa hakosolewi. KAZI YA MUNGU HAINA MAKOSA. uSITUPOTESHE, VIONGOZI WA DINI WALIPEWA JUKUMU LA KUTUONGOZA SISI WAUMINI WAO NA KUTUAMINISHA KATIKA KUTENDA HAKI. DR ALIPASWA KUKAA NA MZAZI MWENZIE WA AWALI (ROSE) KUYATATUA MATATIZO YAO YA KIMAHUSIANO.
 
aliyefumaniwa na mke wa kada mwenzie kule igunga anatoka chama gani? alifumuniwa na mke wa askari kule singida anatoka chama gani? anayeongoza kuwa na vimada wengi na watoto wa nje ya ndoa anatoka chama gani?

hoja nyingine unaleta mada nyingine vivo hivyo shule ulikuwa unapewa maswali ukawa unajitungia ya kwako na kujijibu mwenyewe huo ni ukilaza uliokubuhu uwezo wako wa kudadavua hoja ni mdogo sana unakula bure Posho ya Chadema usipojirekebisha Mkuu wa kitengo cha upotoshaji Mh Mnyika atakunyang'anya shavu na kuwapa wengine, Chadema ina vijana wenye uwezo wa kuisoma hoja na kuipotosha vizuri na kuwachanganya wasomaji wewe unaonekana waziwazi kama ni kilaza aliyekubuhu !
 
Nina maswali 3 kwa mleta mada na waugua Chadema hapa JF

1. Wewe na wenzio munamshauri Dr Slaa na CDM ili iweje?
2.Kwanini ushauri huu usiwape ccm waliokaa madarakani kwa miaka 50 na bado wanaongoza kufanya madudu kila kukicha?
3. Hivi umewahi kutoa ushauri kwa serikali ya ccm kuhusu Kagoda ya epa,Richimond,umasikini uliokithiri huko vijijini,
ukosefu wa huduma za jamii hasa huko vijijini,mauwaji ya kule Igunga na Arumeru na mwisho hapa juzi kipigo cha Dr Ulimboka? Haya ni baadhi ya machache tu dhidi ya mengi niliyoyabakiza.
 
Ivi alikutwa gerezani akiwa na simu anaongea na nani vile! ambae ni kimada wa yule bosi wa i......,mbona mmeminya hapo,jamani jamani ccm imechafuka zaidi ya 100%
 
Josephine

Dokta wa Kanoni Slaa,

1ST LESSON: I CORINTHIANS 3:16 - 17
"Know ye not that ye are the temple of God, and that the spirit of God dwelleth In you? If any man defile the temple of God, him shall God destroy; for the temple of God Is holy, which temple ye are."
2ND LESSON: I CORINTHIANS 10: 8
"Neither let us commit fornication, as some of them committed, and fell in one day twenty three thousand"
GOLDEN TEXT: Revelations 2:20-23
"Not withstanding, I have a few things against thee, because thou sufferest that woman Jezebel, which calleth herself a prophetess, to teach and to seduce my servants to commit fornication, and to eat things sacrificed unto Idols. And I gave her space to repent of her fornication; and she repented not. Behold, I will cast her unto a bed, and them that commit adultery with her Into great tribulation except they repent of their deeds. And I will kill her children with death; and all the churches shall know that I am He which searcheth the reins and hearts: and I will give unto every one of you according to your works."
If any person comes into Brotherhood and continues to have problems, I do not sympathize with him, because he is the architect of his own fate.
You have been told not to fornicate because when you fornicate you are dead but you continue to indulge in fornication. It is what is palatable to the sick man that he will finally eat and die. The word of God says that if we were to search ourselves, God would not judge us; but when He judges us, He chastises us so that He may not condemn us with the world...

Soma zaidi:
http://www.wordcenter.org/Fornication/gospelflee.htm
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom