Dr. Slaa sikuelewi, Badilika! La sivyo wewe na CHADEMA...

Status
Not open for further replies.
Mleta thread ni jamii moja na Magamba,eti unasema CDM na Dk. Slaa wameshuka umaarufu? sijui uliitisha lini kura ya maoni ukapata hayo ulioandika? kajipange upya huna deal,M4C inaendelea kuchanja mbuga,
 
ninaunga hoja mkono.mtoa mada wewe ni mtanzania kamili si shabiki wa watanzania kama walivyo wengi humu.eti wanaipenda cdm hawataki kisikia baya la cdm,hamsaidii cdm kwa kuwapongeza bila kuwashauri.siku mkisikia mbowe hajawai ku2pa kadi ya ccm aliyokatiwa na baba yake tangu akiwa chipukizi pale nshara,mtabaki mdomo wazi.cdm ni chama cha watanzania wote ruhusuni mawazo tafauti yenye kujenga na acheni kuabudu watu.hamjui yalio ndani yao
 
CCM bwana,mnajitahidi sana,lakini too late.

Propaganda hazina nafasi kwa watanzania,watanzania wanataka Tanzania aliyoiota mwl nyerere,ambayo ilitoa Elimu bure,huduma bure za Afya na huduma bora za kijamii bila kuchimba madini ,kusafirisha magogo na kutuibia wanyama wetu.

Chadema siyo Dr Slaa chadema ni Taasisi,kama taasisi inawashahuri katika nyanja zote,wewe ni nana?

Ndiyo maana wabunge wa CCM wanashindwa kujadili hoja za maendeleo wanabaki kuhariri hotuba za akina Lissu na Myika unaweza kuona ni kwa namna gani mmepoteza focus na direction.

Haisee wewe unapata wapi ujasiri wa kuchangia hoja?

Jamani mbona wanawake hampendani,hamjaliani,hamthaminiani na kuheshimiana?mtaendelea kuyumbishwa na wanaume mpaka lini?rudi kwa mwanaume wako acha mwanaume wa mwenzio,kumbuka mwenzio anaumia,anateseka na kusononeka sana dhambi hiyo itakutafuna sana Josephine!
 
Leo ninazidi kujidhihirishia Pro CHADEMA ni watu wanamna gani, yaani hawataki kuambiwa ukweli na wako radhi kukivunja kioo, kikiwaonyesha kwamba wana tongotongo machoni, yaani wenyewe hawataki kukosolewa sababu wanajiona wao wamekamilika na hata malaika kwao anasubiri sababu wao hawana mapungufu kabisa wakati Katibu wao mkuu
Dr. W. Slaa anawaonyesha kwa vitendo kwamba binadamu hatujakamilika ndio maana yeye alivunja amri ya 6 zaidi ya mara moja kipindi ambacho waliowengi walikua wanajua ni Padri na bado waumini wengi walikua wanakwenda kwake KUUNGAMA, wakati anayewaungamisha nae anatenda Dhambi, tena zaidi hata ya waumini wake kwa kuvunja amri za Mungu ikiwemo Kuzini wakati yeye yupo kwenye kiapo cha Upadri, na hata baada ya kuachana na Upadri bado aliendelea kuzini pasipo kufunga ndoa, kwa ufupi
Dr. Slaa alikua anaenda sambamba na mtoto wake wakike wa kumzaa kwa kufanya ngono zembe bila kinga kabla ya kufunga ndoa......

Orthonological specimen of identical plumage invariably conglomerate in the same vicinity. .....!

Mnaanzisha thread halafu mnaingia personal vendatta na kui-lable ushauri,hoja na maneno mengine

Kwanza nashindwa kuelewa huu ustaarabu unaoongelea hapa at the same time unatukana,unafanya siasa kwenye mambo binafsi ya watu.

Ati wenye mapenzi mema na Slaa wananzisha thread ya kumshauri?kwa nini msiwasiliane naye moja kwa moja?
 
panadol

Jamii Forums is a discussion forum, and it is inevitable that disagreements with crop up from time to time. Please be nice and respectful to other members at all times and do not resort to personal attacks, false accusations, name-calling, and other unproductive forms of communication.

Hizi primitive contributions tusipoachana nazo tunaharibu hii Forum
 
ninaunga hoja mkono.mtoa mada wewe ni mtanzania kamili si shabiki wa watanzania kama walivyo wengi humu.eti wanaipenda cdm hawataki kisikia baya la cdm,hamsaidii cdm kwa kuwapongeza bila kuwashauri.siku mkisikia mbowe hajawai ku2pa kadi ya ccm aliyokatiwa na baba yake tangu akiwa chipukizi pale nshara,mtabaki mdomo wazi.cdm ni chama cha watanzania wote ruhusuni mawazo tafauti yenye kujenga na acheni kuabudu watu.hamjui yalio ndani yao
NO.Research NO Right to say!
 
Thread imekaa kishabiki na watu wamekujibu kishabiki, kuhusu mahusiano yake leo South Africa na Swaziland nadhani unawajua
ma Rais wao na mpaka leo wako madarakani, kuhusu kukataa kuhojiwa then baadae kukubali sitaki kumsemea yeye anajua zaidi kwa nn
amefanya hvyo kama mwanadamu wa kawaida unafnya maamuzi kwa utashi wako kutokana na unavyojisikia na ushauri wa watu wako wa karibu.

Swali ni je, kama haya tu ndio yanafanya watu wafikirie mtu mwingine, Vp kuhusu aliye madarakani anastahili hata kuingia Ikulu kesho kwa mambo aliyoyafanya?
 
Kama kwel wee ni shabik wake, bas umefanya kaz nzur kumpa ushaur mzur kuhusu bi mkubwa Jose, 'Ikulu ni mahal patakatif', kwahiyo ajisafishe mapema sana ili kura zake za 2015 zisipungue. JK & Mkapa wote walipitia kwenye vitisho vya ndoa, lakin walifika Ikulu, kwahiyo sio ajabu sana kwa Jembe Slaa, mpe muda. Na huyo bi Rose anang'ang'ania ki2 gan kwa Jembe? Siku zote hizo alikuwa wap?
 
NO.Research NO Right to say!

Sasa nimeamini KUPENDA ni UPOFU..na Ukipenda Chongo huona KENGEZA!
Kiukweli mimi binafsi sikuwahi kushawishika kuyahusisha maisha ya Dr. Slaa na harakati zake za kisiasa. Lakini as time goes on naona sasa ni wakati muafaka wa kupima uadilifu wa huyu Kiongz Slaa kwa kuangalia hizi kesi zake za kifamilia zinazokuja kama mvua. Mara Kadhaa vijimambo kama hivi huwa vinakuwa na 'implications' zake baadaye kama hatutaviangalia kwa jicho la tatu badala ya kuweka ushabiki.

Mtoa mada amemuomba Dr.Slaa kujitazama upya kwenye maisha yake binafsi na mimi kama ninayependezewa na UONGOZI wa Dr Slaa namuomba pia ajitazame upya. Na ikibidi ayasawazishe haya mambo kabla yayajafika kwenye 'public'.

Na kuhusu CDM bungeni..ni jambo lililowazi kuwa wameanza kuelewa SIFA, ama Wameshindwa kuwa 'STRATEGIC'..Kama anayofanya Nchemba na anayofanya Mnyika ni sawa..and then tunasema mbona na CCM wanafanya hivyohivyo.. ni kumkumbatia Nyuki kwa nia ya kumbusu..Na kwa hili CCM wameweza kuwatoa CDM kwenye track..Hebu nyie wabunge wa CDM rudini kwenye Hansard na linganisheni mapwenti mliyomwaga bunge lililopita na sasa..Kwa kweli japo pia Spika anawabana lakini hata pale ambapo mmeonekana kupewa ulingo sawa mmepwaya sana...Muda bado upo ..JIREKEBISHENI bana!!
 
We sio wakuziba bali wakuzibuliwa,mwanzoni nilidhan unaushauri wenye kuleta tija,lakini tatizo una elements za kutumwa kisiasa na mtu au mwenyewe bila kupewa njia na mwongozo mzuri wa kuleta hzo fitina zako, slaa ni jembe tu na wala hajabadilika,mambo ya ndoa ni ya wa2 binafsi na hayamfanyi kitu ila ni wachochez wasifikiria wanaona ni point ya kusimamia jukwaani.BADO ONGEZA TENA
 
Wakitaka kukuelewa watakuelewa wakijitoa fahamu shauri yao. Dharau, majigambo na kudhani wanajua kila jambo ndio iliwagharimu NCCR na CUF wakaondoka katka nafasi ya vyama vikuu vya upinzani nchini
 
Orthonological specimen of identical plumage invariably conglomerate in the same vicinity. .....!

Mnaanzisha thread halafu mnaingia personal vendatta na kui-lable ushauri,hoja na maneno mengine

Kwanza nashindwa kuelewa huu ustaarabu unaoongelea hapa at the same time unatukana,unafanya siasa kwenye mambo binafsi ya watu.

Ati wenye mapenzi mema na Slaa wananzisha thread ya kumshauri?kwa nini msiwasiliane naye moja kwa moja?

Hao malaika wanaoiogoza CDM tuambie ni wepi ili tuwafahamu.
Achana na upenzi wa mtu anyeweza kusahihishika na jamii na bado akawa kiongozi mzuri kuliko hulka ya kuabudu mtu-Mao Tse Tung style.

Nyie ndio mnaishia kuabudu "fikra za mwenyekiti", hata kama mwenyekiti mwenyewe ana tabia mbovu, na fikra zenyewe ni mbovu.
 
Ndiyo maana ndani ya chama kuna washauri kwa kuwa chama kinaongozwa na binadamu ambao hawajakamilika...

Thread imeanzishwa maliciously and still unataka kupewa credit za ushauri?Liache hilo suala binafsi limalizwe hivyo....
 
panadol

Jamii Forums is a discussion forum, and it is inevitable that disagreements with crop up from time to time. Please be nice and respectful to other members at all times and do not resort to personal attacks, false accusations, name-calling, and other unproductive forms of communication.

Hizi primitive contributions tusipoachana nazo tunaharibu hii Forum

I concur!
Kuna jamaa katika thread hii aliamua kunitukana akifikiri IQ yangu ndogo na si wa mujini.
Only a slight twist of language nilirudisha all the dirty words thrown at me , directly to his own self.
Jamaa akishia kubonyeza kitufe cha "Report abuse" which I also promptly reciprocated in kind.
Sijamuona tena kwenye hii thread for good measure.

Moral of the story is: Kuna member wasio na ustaarabu sana , hasa wakizidiwa kete kwenye arguments-rhey resort to personal and abusive language, kama wanavyoita waswahili-matusi ya nguoni.

I only hope that through our contributions we can manage to show that , actually the one using abusive and foul language is not worth membership in this forum.

Thanks Saanane for reminding the same.
 
nimeamini jina langu la wakuziba lina uzito wake. kwanza nikishaziba, kuzibua hoja zangu ni shughuli nzito sana. pili lakabu yangu ya "mzee wa maneno yanayochoma nyoyo" ni mujarab na maridhawa kabisa! wengi wanaosoma makala zangu, huumizwa sana na ukweli wa maneno yangu. huwa uwezo wao hauwaruhusu kuzijibu kwa hoja. huishia ama kutukana au kukosa la kuandika! ASANTE MUNGU KWA KUNIPA UWEZO WA KIUCHAMBUZI NA KIMAONO!

Wakatabahu: wakuziba (mzee wa maneno yanayochoma nyoyo)

Mwenye hekima na busara hajisifu bali husifiwa na watu kwa anayosema na kutenda. Wewe ni mpenda sifa au mmbea tu. Uliyoandika ni taarifa na mtazamo wako ambao kila mtu ana wake. Ukiona watu hawachangii au wanatukana ujue aidha huna hoja au hoja zako hazina mashiko. Sawa na mwalimu aliyeingia darasani bila kufunga zipu, wanafunzi wakishangilia anadhani wanafurahia somo kumbe........
 
Wana CHADEMA wenzangu mtoa Mada ana point. Najua ukilinganisha ya Dr. Slaa na MAGAMBA...Magamba ni mafisadi, wezi, wametulaghai sana na Dr. Slaa inabidi autumie ushauri huu kujiweka imara zaidi. Swala la msimamo ni zuri tu.

Nadhani mtoa MADA anania nzuri tu. Ni constructive criticism.
 
Josephine

Default Re: Dr. Slaa sikuelewi! Badilika! La sivyo wewe na CHADEMA....................... ....

CCM bwana,mnajitahidi sana,lakini too late.

Propaganda hazina nafasi kwa watanzania,watanzania wanataka Tanzania aliyoiota mwl nyerere,ambayo ilitoa Elimu bure,huduma bure za Afya na huduma bora za kijamii bila kuchimba madini ,kusafirisha magogo na kutuibia wanyama wetu.

Chadema siyo Dr Slaa chadema ni Taasisi,kama taasisi inawashahuri katika nyanja zote,wewe ni nana?

Ndiyo maana wabunge wa CCM wanashindwa kujadili hoja za maendeleo wanabaki kuhariri hotuba za akina Lissu na Myika unaweza kuona ni kwa namna gani mmepoteza focus na direction.
1st lady mambo hayo ya bure siku hizi hakuna kutokana na upepo wa siasa ya dunia ilivyosasa. ant- communisim nd' anatawala ulimwengu hivyo hayo maneno kwenye rangi ya blue hapo ni ngumu sana kuyatekeleza na utaleta balaa katika utawala wa mmeo. mfano mzuri angalia nchi ambazo zina mambo ya communism zinavyoandamwa, libya... n.k tusiwadanganye watu kwa staili hii... imbombo miyako!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom