sangarara chunga sana ndugu yangu. umeandika kitu cha maana bila shaka, ila sasa style uliyotumia ndio hatari, heading my dear, ungekuwa ni mtaani uso kwa uso makubwa yangekukuta, si unajua ile mwizi mwizi, anapigwa mawe, nondo yuko hoi chini ndio watu wanasema sio mwizi jamani, take care siku nyingine usianze hivyo, labda kama unaelezea ya yule wa chama kingine, wanaweza kukuvumilia, huyo uliyemgusa ni hatari.