LINCOLINMTZA
JF-Expert Member
- Mar 15, 2011
- 1,639
- 519
Kamuulize rais wako kuwa Dr.Slaa ni nani atakwambia kwa kinagaubaga.Gamba wewe,umetumwa kuja kutupotezea muda hapa JF?
Pole sana .kwakutaka watanzania kutaka kukuunga mkono kuwa wewe ni ajabu la nane . Lakini umechelewa gamba kichaa wewe
Kwa wewe ulioshiba ni pointless, hila kwangu mimi hohe hahe hiyo ndio hali halisi, chuki niliyonayo dhidi ya ccm itaendelea kwa muda mrefu sana hata baada ya kuondoka madarakani 2015.
Ungekuwa na chuki na CCM usingemshambulia doctor! Yaani wewe kweli niliposoma heading kuwa dr. Slaa sikuweza kusoma thread yako tayari heading yako ilishanichefua! pole kama wewe ni kamanda mwenzangu, ila jifunze kutafuta heading inayoendana na habari!