Dr. Slaa shujaa wa Vita dhidi ya Ufisadi awasili Arumeru; Apokewa na maelfu akimnadi Joshua

Wassira sijui anafanya nini pale ikulu. Mii siku nikikutana nae namtandika jiwe ili akafanyiwe plastic surgery awe handsome??

Unarudia makosa yale yale. Wassira amefanya personal attack badala ya kuuza sera, na wewe unalipiza personal attack badala ya kujibu/kuchangia hoja
 
CHADEMA ni waadilifu sana, hakuna sababu ya kumtandika jiwe. Atatandikwa na sera makini za CDM tu.

Wassira sijui anafanya nini pale ikulu. Mii siku nikikutana nae namtandika jiwe ili akafanyiwe plastic surgery awe handsome??
 
Wassira sijui anafanya nini pale ikulu. Mii siku nikikutana nae namtandika jiwe ili akafanyiwe plastic surgery awe handsome??

Pale si ndio wageni wazito wazito huwa wanaanzia mara mabalozi, wafanyabiashara wakubwa,mara mtoto wa mfalme so ni moja tu ya vivutio kuonyesha jinsi tulivyo na rasilimali nyingi.
 
Jaman hata yeye hakujua atazaliwa vile ingekua kuna kuchagua mbona kila mtu angekua mr and miss world
 
kama watu walio ikulu wapo hivi(na wanatumika na wanachama wao as role modal)-hao wanachama wao sijui wapoje-
 
Mfahamu vizuri kwanza ndiyo uje utashawishi usikurupuke tu na kajaribu kututaka tukubali unavyotaka wewe.
 
Dr Slaa jembe bwana ona hiyo nyomi watu Arusha na sisi hapa Mwanza tulifunika jana kama kawa,kaudiwani ketu tunasubiri kuapishwa tu.
 
CCM wamelewa!
 
Pale si ndio wageni wazito wazito huwa wanaanzia mara mabalozi, wafanyabiashara wakubwa,mara mtoto wa mfalme so ni moja tu ya vivutio kuonyesha jinsi tulivyo na rasilimali nyingi.

Mkuu ina maana Tyson amekuwa kivutio kama wale Twiga waliopelekwa Qatar? JF haiishi misamiati.
Ile familia ya kifalme si ije imchukue na yeye kwa ajili ya kuvutia world cup 2022?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…