MUSSA ALLAN
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 18,925
- 13,280
....nafasi za kazi loliondo!!!
Dr.Slaa alienda TABORA kukagua uhai wa chama au kuzungumzia mawaziri waliojiuzulu?
....nafasi za kazi loliondo!!!
JK asingewatimua mawaziri juzi Dk.Slaa angeongea nini kwenye mikutano yake?
Katibu mkuu wa chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA),Dr.Wilbroad Slaa amesema serikali nzima na Baraza la Mawaziri linapaswa kujiuzulu na kwamba kitendo cha kujiuzuru kwa mawaziri wanne tu hakitoshi na badala yake amesema Pinda kama "kiranja" mkuu anapaswa kuwajibika.
Dr.Slaa ametoa kauli hiyo wakati akihutubia mkutano wa hadhara huko mkoani Tabora.
CHANZO:
Mzee wa Gongo
Dr.Slaa ameenda TABORA kufanya nini? Mbona hajawaambia wanatabora kilichompeleka huko? badala yake amedakia topic ya mawaziri waliojiuzulu na kuifanya ndio ajenda kuu kwenye mikutano yake, huyu BABU sasa ameishiwa nyimbo!

Vipi baba ako jee anazo agenda za kuongea kwa mikutano?SILAHA NI MZEE WA MATUKIO HANA AGENDA ya kuongea mikutanoni yeye anakwenda na matukio au jambo linalotokea siku hiyo