Ibrahim K. Chiki
JF-Expert Member
- Apr 5, 2011
- 594
- 163
Unazungumzia dr slaa yupi yule babu ambaye bado anamchumba au yule aliyeiba pesa kanisani akafukuzwa.Wadau,
Naaamini hadi sasa lumumba na magogoni mambo sio shwari, baada ya Dr Slaa kuweza kudaka nyaraka za siri kutoka ikulu ndani ya muda mfupi na Rweyemamu kuuhakikishia umma wa watanzania kua nyaraka zile na kikao kile ni cha kweli, Hii inaonyesha kwamba Dr ni mtu hatari sana katika mambo ya intelijensia na yupo one step ahead ya chama tawala na usalama kwa ujumla, saluti sana kwa huyu mzee kwa kweli. Heko Dr Slaa. Heko Chadema. Heko Ukawa.
Mabadiliko 2015.
Ni hatari kwa kuiba wake za watu wala hana kitu cha maana zaidi ya hayo.
Hazikuwa nyaraka za siri, zilikuwa nyaraza za wazi kwa watu wote,.. Hatudanganyiki
Ni hatari kwa kuiba wake za watu wala hana kitu cha maana zaidi ya hayo.
Hujaelewa mada au ujinga unakusumbua we Dada
Ukawa wajinga kweli ipo siku wataokota karatasi jalalani wataenda kuwaambia watu kuwa wamepata nyaraka ya siri,zile nyaraka zilikuwa na siri gani wakati ile ni mipango ambayo imepangwa wazi kabisa.Hazikuwa nyaraka za siri, zilikuwa nyaraza za wazi kwa watu wote,.. Hatudanganyiki
Kweli kabisa kwenye kuiba wake za watu ndiyo hatari kweli pamoja na kukopa pesa kwenye chama bila kulipa.Mada ni kuhusu uhatari wa dr.slaa hasa hasa kwenye kuiba wake za watu
Mada nimeielewa vema inahusu uhatari wa slaa kwenye wizi wa wake za watu hutaki unaacha.Hujaelewa mada au ujinga unakusumbua we Dada
Ngoja nikuoneahe mdebwedo huyu ndiyo kamanda mdebwedo.Kwa pamoja tutashinda,ccm 'mdebwedo'imechoka kila idara imebaki na ugaidi na uharamia tu.,Hebu tujiulize pamoja na hasara yote waliyotuletea kwa bunge la kifisadi chini ya sita na chenge bado wanataka kutudhulumu mabilioni kwa hila ya katiba iso na tiba!!!Ni vyema tuipumzishe mapema kwa gharama yeyote kabla haijamalizia kuliangamiza taifa."shime makamanda shime".:director::boxing::boxing:.'UKAWA'Keep it up.
THE BEST HON . DR SLAA hana mfano nchi hii .
Mada nimeielewa vema inahusu uhatari wa slaa kwenye wizi wa wake za watu hutaki unaacha.
Mada nimeielewa vema inahusu uhatari wa slaa kwenye wizi wa wake za watu hutaki unaacha.