Ndio maana nimemkubali ... hahaha kuna tatizo ingawa twaweza weka vichwa kwenyemchanga lakini mmmmhhhh. Hongera @dr.slaa kiboko wa mafisadi ingawa recently chama chaco pia kimeonekana kina-dumisha mila za ufisadi...Timu ya kriket ya S. Africa ipo hapa nchini unataka ubinadamu gani wewe kazi ziko palepale.
Huyu mzee namkubali... anapiga mzigo tu... kwake ni as if Afrika haina msiba Zitto kabwe Ben Saanane
Keep it up mzee... ila kuwa na kau-binadamu hata kwa mbali kidogo.
Afrika watu wanapenda kuhuzunika na kufurahi pamoja... try just to be like us!
Kwani leo ndio umejua?
kama hakwenda kuzika kwanini asifanye kazi? mjue akiwa rais haya mambo ya mlolongo wa public holidays ( sikukuu) na mapumziko ya Mee Ruksa Mwinyi mtayasikia kwa mbali!
Hahaha!, BEWARE you sons and daughters of TANZANIA; the real man and King is in the Making.
Huyu mzee namkubali... anapiga mzigo tu... kwake ni as if Afrika haina msiba Zitto kabwe Ben Saanane
Keep it up mzee... ila kuwa na kau-binadamu hata kwa mbali kidogo.
Afrika watu wanapenda kuhuzunika na kufurahi pamoja... try just to be like us!
The only problem the King is extremely poor in leadership...But Extremely good in fingerpoint or showing wrong doing on others.
Huyu mzee namkubali... anapiga mzigo tu... kwake ni as if Afrika haina msiba Zitto kabwe Ben Saanane
Keep it up mzee... ila kuwa na kau-binadamu hata kwa mbali kidogo.
Afrika watu wanapenda kuhuzunika na kufurahi pamoja... try just to be like us!
Dr Slaa hana mambo ya kipuuzi na kwenda kucheka cheka mbele za watu kama ------.
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
You be the JUDGE but the FACT remains. Muhongo kaisha funga mjadala: kila kitu ni FACTS
Kipenda roho! every body see the world different... piga mzigo Dr. Slaa our next president... at least with leadership failure record! and another selfish record ( refer: change a political party to a micro-finance/SACCO organization with restricted loaN to part leaders only)