Sasa unataka tukusaidie nini?au unataka tumchangie nauri kama arumeru mnavyo fanya,kuwa wazi tuwasaidie
Wewe mtu kwakwao jaribu kuwa a Staha japo kidogo za kuweza kujiswafi baada ya haja kubwa.
@ don- oba hivi hawa watu ndiyo unaita wengi? Acha kutengeneza picha na mazingira ambayo hayapo...... Luck is with you kuwa hapa camera yangu haifanyi kazi.
hebu muogopeni mungu jamani, inamaana huu umati wote wa watu hauoni? Nahisi haupo uwanjani, viti vimepangwa katika mafungu manne. Naamini kila fungu ni karibu watu alf moja ongeza na waliosimama. Acha siasa za maji taka. Nimepiga tayari picha, cable nimeacha room. Nitaziweka hapa uaibike.
Mkuu endelea achana naye huyo wala hayupo uwanjani.hebu muogopeni mungu jamani, inamaana huu umati wote wa watu hauoni? Nahisi haupo uwanjani, viti vimepangwa katika mafungu manne. Naamini kila fungu ni karibu watu alf moja ongeza na waliosimama. Acha siasa za maji taka. Nimepiga tayari picha, cable nimeacha room. Nitaziweka hapa uaibike.
Mkuu achana na huyo gamba wewe endelea kutupa updates
Dr Slaa anaanza kuongea, anataadharisha kwamba hataweka siasa mbele. Anachukua kitabu kilichoandikwa na Mill 'Why africa is poor' anasema kwamba umasikini wa afrika unasababishwa na viongozi wake. Anawaasa wana chuo kama tegemeo la taifa, anadai hapa Tanzania wanachuo ni adui wa taifa. Anadai chuo kikuu ni chemichemi na fikra pevu ambapo vijana wanaweza kuibua mambo mazuri na kuleta faida kubwa katika taifa lao. Anasema hakuna nchi iliyoendelea duniani kutumia kilimo tu. Anamshangaa JK kuona kuwa nchi imeendelea kwa kipimo cha msururu wa magari barabarani....
Acha u Lodi Lofa wewe, mkubwa mzima unalazimisha kutekenywa kutekenywa ili ucheke cheke...
Ndiyo wakuu ! Dr Slaa ndo anaelekea saut malimbe kwa ajili ya kongamano katika viwanja vya Nyamalango. Naomba kuwasilisha.
Mkuu endelea achana naye huyo wala hayupo uwanjani.
Sipo uwanjani unamaanisha nini? Au meniletea mkeo home ili ani keep busy?