Pamoja na yote,naomba nichukue fursa hii kukushukuru wewe mleta uzi,maana kazi unayofanya kwa kweli inasitahiri pongezi za kipekee,mwanzo walidhani unatania and now wanajua nini dr anachokifanya,kubali kupokea kajeli zao,dharau,na hata pongeza zao and take it as a challange,we thank you men tena alots.
back to reality: Nazidi kuendelea na kugundua why dr slaa anachukiwa na wanaccm wengi"tofauti na hotuba za baba wa Taifa,rev msigwa na hii ya leo ya dr slaa, cjawahi ona hutuba kali nyingine kama hii,kuna mda nawaza labda hawa viongozi wana hofu ya Mungu ndiyo maana wanaongozwa na ukweli wa changamoto zinazotukabiri?
nways shkrn kwa kazi unayoifanya mpashaji,i salute you